Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi ya kushinda mnatoa sare. Haya nami sichoki kuwakumbusha.😁
1696698592877.png
 
Hongereni wadau,
A good chemistry
A good perfomance(hii ni derby)
A good confidence for both player and coach
A beginning winning reathim
A defined pattern play in backline,midifield and attack (kwa baadhi ya vipind vya mchezo ndani ya dk 90)
A beginning partnership in some positions

Mpeni muda poch,
Wapeni muda wachezaji
Upeni muda mfumo wa kocha
Wapeni muda wamiliki
Jipeni muda mashabiki
Yapeni muda makombe

Hongereni boys
Natamani hta abramovich arudi tu, sina raha Chelsea hii
 
Hii defence ya Chelsea inapwaya
Mimi ndugu yenu wa Liverpool nimepita tu humu, lakini ndugu zangu wa Chelsea, kwa muda mrefu jana ndio nimeona Chelsea wakicheza kama team na kwa juhudi 100%. Defence walicheza vizuri sana tu Arsena hawakuwa hatari kabisa mpaka Kipa alipowazawadia goal lakini hakukuwa hata na harufu kuwa Arsena watasawazisha. Ndio maana kwa Chelsea jana kama wamefungwa ila mchukue mazuri, jana baada ya muda mrefu nimeona Chelsea ya baadae walikuwa compact hakukuwa na gap defence, Mid, na mbele speed ilikuwa juu na wana recover position haraka. Mechi ilikuwa fire.
 
Tuendelee kuwapa muda, ipo siku watakuwa fire
 
Ifike kipindi huyu Sanchez awekwe benchi anatugharimu mno yale makosa binafsi anayokuwa anafanya Ndio tumeazibiwa jana ni nafasi sasa apewe Yule kipa wa serbia tuliomsajili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom