Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,797
- 4,680
Anagawa findiKama ni kweli akae nje tu hata miaka na afe kabisa nimemchukia tangu nilipo sikiaa msenge sana huyo mtoto nyau

Anagawa findiKama ni kweli akae nje tu hata miaka na afe kabisa nimemchukia tangu nilipo sikiaa msenge sana huyo mtoto nyau

Sababu zinaweza kuwa Either:-
1. Tunafanya sajili bila kujiridhisha na injury records za wachezaji.
Au
2. Madoctors wetu wanashindwa kutibu injury za wachezaji inavyotakiwa, kupelekea injury kujirudia rudia.
Hiv hiyo FOFAN MBONA KMA TUMEPIGW
Fofana tangu yupo Leicester majeruhi na majeraha yake yanakuaga ya muda mrefu sana alafu tumepigwa 75mHiv hiyo FOFAN MBONA KMA TUMEPIGW
Msimu uliopita tuliongoza ligi kwa injury 12
Huu usajiri wa kijinga sanaFofana tangu yupo Leicester majeruhi na majeraha yake yanakuaga ya muda mrefu sana alafu tumepigwa 75m
Mpaka tumezoea sasa na majeruhiMsimu uliopita tuliongoza ligi kwa injury 12
Msimu huu bado tunacheza kwenye hiyo hiyo figure ya 10
Chelsea kazidi zaidiFofana tangu yupo Leicester majeruhi na majeraha yake yanakuaga ya muda mrefu sana alafu tumepigwa 75m
Wesley Fofana ndiye beki wa tano kwa bei ghali zaidi duniani na wa nne katika EPL bado atakaa nje ya uwanja kwa msimu mzima!
alikosa mechi 41 mnamo 21/22,
11 mnamo 22/23 na
atakosa mechi 38+ mnamo 23/24
Je, kosa ni la nani? Je, ni timu yetu ya matibabu au mchezaji mwenyewe?
View attachment 2736189
Ha haha nimechekaHao injury prone players siku zao kusalia THE BLUES zinahesabika.
Bank ya Marekani itawaondoa wote madirisha ya usajili yajayo.
Waarabu wajiandae kukinga mafuriko mengine ya wachezaji kutoka THE BLUES
Hao injury prone players siku zao kusalia THE BLUES zinahesabika.
Bank ya Marekani itawaondoa wote madirisha ya usajili yajayo.
Waarabu wajiandae kukinga mafuriko mengine ya wachezaji kutoka THE BLUES

Shida ya Injury kwa sehemu kubwa iko Chelsea,Hao injury prone players siku zao kusalia THE BLUES zinahesabika.
Bank ya Marekani itawaondoa wote madirisha ya usajili yajayo.
Waarabu wajiandae kukinga mafuriko mengine ya wachezaji kutoka THE BLUES
Kma umeongea kitu je hiv je shida nni hapo kweli maaana unachosema ninkweli kuna shida Chelsea ipoShida ya Injury kwa sehemu kubwa iko Chelsea,
- Kante tangu aende Uarabudi hajaenda injury
- Kovacic tangu aende Mancity hajaenda kitandani
- Pulisic tangu aende AS Milan hajaenda
- Sisi Chelsea hata kwenye mazoezi mtu anaumia
Anapigwa vizuri kabisaFriend of Burney