Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wanacheza vizuri kama timu zingine kubwa tangu ligi ianze
Tatizo letu kubwa ni ufungaji
Fuatilia statistics za Chelsea utagundua hili
Man city tu ndio waliofungwa magoli machache kuliko Chelsea; City (5) na Chelsea (6)
Midfield na Defence tumekaa solid. Only mbele ndio wametuangusha
  1. Mechi na Liverpool tuliwa outplay
  2. Mechi zilizofuata hata kama hatukuwa kwenye best level ila opponent tuliwazidi
  3. Tukifanikiwa kutatua issue ya ufungaji, tunaweza kwenda double figure bila kufungwa
Yah na ndio hichi kitu ambacho nawaambia wanaoifananisha Chelsea na man u ,man u hata kwa Astonvilla hawawez kumu outplay

Kwasasa Chelsea wanaweza kukaa chini Waka analyse wapi waboreshe wapi wafanye Nini

Na ndivyo timu zinajengwa hivo,kwanza vile vitu basic viwepo halafu unaanza kuona mapungufu yapo wapi unayo solve

Sasa niambie kwa man u haijulikani wanacheza Aina gan ya mpira , timu ndogo zikijikaza kidogo tu zinawa dominate kwa aibu

Kila mchezaji pale wanasema mbovu,
 
Ben Chilwell expected to miss the next 2 months due to hamstring injury.

He could return in December but it’s not guaranteed yet.

Blow for Poch but Chelsea coaching staff have also appreciated Cucurella’s performances, training best way. Three games started, three wins.
 
Sio jana tu hata mechi nyingine zipi unaweza muangushia jumba bovu kwa Chelsea hii?
Ingekuwa Gallagher ana uchezaji wa kimkakati (strategic and visionary play), angekuwa bonge la mchezaji. Juhudi imejaa pale, yuko uwanja mzima. Ila zile pasi strategic kama ya Jana aliyotoa Caicedo kwa Colwill au zile alizokuwa anazitoa Enzo au hizi za sasa anazozitoa Palmer. Tungekuwa na bonge la Mchezaji. Tuwe na imani kwa Pochettinoi, labda atamfanya afikie hizo viwango
 
Ofcoz kwa kiwango bado kiko chini anahitaji kuongeza bidii hasa kimaamuzi. Ubora wa pass unakuja kama unao uwezo wa kung'amua ni wapi aupeleke mpira hasa yeye akiwa under pressure. Hapo ndio wengi tunakuja kusema ubora wa pasi. Hilo ndio linawasumbua viungo wengi sana na hata yeye pia
 
Ben Chilwell expected to miss the next 2 months due to hamstring injury.

He could return in December but it’s not guaranteed yet.

Blow for Poch but Chelsea coaching staff have also appreciated Cucurella’s performances, training best way. Three games started, three wins.
Sjiu ben na jems wanashida gani basi naona nao muda wa kuondoka umefik eti ndio ma captain hovyo kabisa aibu kwa Poche na kujikomba kwa waingereza
 
Sio jana tu hata mechi nyingine zipi unaweza muangushia jumba bovu kwa Chelsea hii?
We boya mpira hujui, Ghalagah ni mchezaji wa hovyo,mchezaji anakimbia kimbia tu uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa unasema anacheza vizuri?!!. Yeye ndio alikua anafanya wakina Caceido na Enzo waonekane wavovu

Tutajie penetration pass hata moja tu, moja tu! aliyowahi kupiga tokea ameanza maisha yake ya kucheza mpira. Tutajie hata ya mazoezin.

Uwepo wake jana umetupunguzia magoli.
 
Ndugu yangu Mkohoti naona gari tayari limewaka, kwani mechi yenu na Arsenyau lini?
Kama vipi Nyumbu fc game yetu ya leo tuwaachie nyinyi mkipige na kina Ertugrul beyi.
Gari limeshawaka halafu limekata brek linateremka mlima kila tutaekutana nae kuanzia sasa atasimulia.
Nyie tunawaazima tu Mikailo Mudryk awasaidie kufunga magoli magumu.
 
Nasikia Reece ni bwabwa
Mchumba wake huyo hapo

1696367224457.png
 
Kama ni kweli akae nje tu hata miaka na afe kabisa nimemchukia tangu nilipo sikiaa msenge sana huyo mtoto nyau
Demu wake huyu hapa
1696367299107.png

Reece James sio shoga. Shutuma zilianza kusambaa pale alipaka nywele zake rangi ya pinki. hii ni uvumi tu.

Pia kumekuwa na uvumi kwamba James amekuwa akichumbiana na Mia McClenaghan kwa zaidi ya miaka miwili. Mnamo Novemba 2020, wenzi hao walitangaza uhusiano wao. Mia kwa sasa anaishi London anapomaliza elimu yake ya sheria. Wachumba hao mara kwa mara walichapisha picha kwenye mitandao ya kijamii na walionekana kuwa usuianoi wao ulifika mbali
 
Hiv kwann Chelsea wachezaji wanapata majeraha sana? Ujue hii kitu tusiichukulie poa tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom