Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

enzo ni kilaza sijapata kuona
Tangu Pochettino ampeleke no. 10 Enzo amekuwa akistrugle sana. Leo kacheza hovyo kweli. Isingekuwa Caicedo na Galagher tungelambwa sana leo
Gallagher anastahili heshima yake
Caocedo anastahili heshima kubwa, kazi ile aliyokuwa anaifanya Brighton ameshaianza Chelsea
Palmer hajacheza vibaya ila leo hakuwa kwenye ubora wake
Jackson ni bora mara 10 ya Broja, Poche asije akafanya makosa tena.
Sterling leo mbio zake zimetuinua Chelsea
Cucurella bado anafanya silly mistakes na Silva mzigo. Naona mkataba huu utakuwa wa mwisho kuichezea Chelsea
 
Scott kaingia dk ya 87 na dk ya 93 akasawazisha na dk ya 96 goli la ushindi wana bahati sana hao nyumbu na walitaka kumuuza tena kwa bei rahisi huyo mwokozi wao

🔴🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 Scott McTominay leo…

↪️ Dakika ya 83 — kaingia uwanjani.
⚽️ Dakika ya 93 — anafunga bao la kwanza.
⚽️ Dakika ya 96 - anafunga bao la pili.
👟 Kakamilisha pasi mbili pekee.
🥇 Anashinda mchezo na kupata MOTM.
 
1696698592877.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom