Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hili genge la Rent Boys litamaliza Ligi na points sawa na umri wa Suphian Juma 😂
 
Nyie wazee wakuvizia wakina selemani mmefanya makosa makubwa sana kuchukua nafasi ya 9 yaka kaka yenu nyumbu
Leo Burnley hawawaacha salama
 
Nadhani Sasa wale wanaonichukia watanielewa nilipokuwa namkubali pochetino pamoja na matokeo mabaya mwanzoni

Tatizo sio matokeo mabaya , Wachambuzi nguli tunaangalia vitu vingi tofauti na malayman wengi

Sisi tunaangalia

Je kocha anaweka playing style?
Kocha ana talent ID
Kocha ana uwezo wakwendana na modern football

Ukiangalia vigezo vyote hivo Pochetino anavyo

Pochetino kuanzia mwakani ataanza kugombea ubingwa

Anahitaji madirisha mawili tu aongeze kiungo mmoja na CF mmoja ,plus injury zirudi .
 
Maamuma wengi wa mpira wanaangalia matokeo tu

Sisi wachambuzi nguli tunaangalia parameters nyingi Sana sio matokeo tu

Kocha anaweza kupigwa hata mechi 10 mfululizo sisi wachambuzi nguli tukakwambia hapa kocha yupo na kocha anaweza kushinda mechi 10 mfululizo tukakwambia hapa kocha hayupo


Ndio tofauti ya mchambuzi nguli na maamuma wa mpira


Manjesta walishinda 3-1 vs Arsenal last season ,nilisema 7hag sio kocha Ni tapeli tu, nilishambuliwa Sana ,leo manjesta fans wanaona aibu kusema hadharan 7hag Ni kocha mdogo tu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom