Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ataendelea kuwa mchezaji wa Chelsea na kula mshahara wa bure wa Pauni 120,000 kwa wiki
Huo mshara ni mikubwa zaidi ya Silva 110,000 na Galagher pauni 50,000 kwa wiki.
Hakuna anayemtaka
Pochettino alipoulizwa kuhusu Malang Sarr na Jamie Cumming alipatwa na mshangao na kuuliza NANI?
hakujua kama naye Malang Sarr na Cumming ni wachezaji wa Chelsea


View: https://twitter.com/i/status/1695216726860771811

1693590486534.png
 
Chelsea wamekusanya €264,200,000 kutokana na kuuza wachezaji katika dirisha hili pekee.

Arsenal wamekusanya €203,450,000 kutokana na kuuza wachezaji katika madirisha 11 yaliyopita kwa pamoja.

United wamekusanya €241,940,000 kutokana na kuuza wachezaji, katika madirisha 11 yaliyopita kwa pamoja.
 
Chelsea imeokoa zaidi ya pauni 140M kwenye mishahara ya wachezaji waliiahama Chelsea dirisha hili la kiangazi tu
 
Hiii Chelsea tulivyo smart msimu huu tutafanya vizuri amini nakuambia Chelsea tunabeba ligi mapema tu
 
Hawa wachezaji wanabaki kwenye timu kuu

  1. Deivid Washington - Striker miaka 18
  2. Conor Gallagher - Kiungo
  3. Ian Maatsen - LB - Burnley wametoa £31.5m ila mchezaji amekataa kwenda Burnley, Ian Maatsena kamwambia Vincent Company kwanini anasita kuhamia Burnley)
  4. Trevoh Chalobah RCB/RB
  5. Marc Cucurella LB/LCB
1693593002917.png
 
Hawa wachezaji wanabaki kwenye timu kuu

  1. Deivid Washington - Striker miaka 18
  2. Conor Gallagher - Kiungo
  3. Ian MAatsen - LB - Burnley wametoa £31.5m ila mchezaji amekataa kwenda Burnley, Ian Maatsena kamwambia Vincent Company kwanini anasita kuhamia Burnley)
  4. Trevoh Chalobah RCB/RB
  5. Marc Cucurella LB/LCB
View attachment 2736015
hAdi chalobah amebak dah? tutashika nafas ya 20 huko.
 
Wachezaji wanaobaki kwenye first team ni 27
Makipa 3
Mabeki 11
Viungo 6
Washambuliaji 7
  1. Robert Sanchez
  2. Djordje Petrović
  3. Marcus Bettinelli
  4. Axel Disasi
  5. Benoît Badiashile
  6. Wesley Fofana
  7. Thiago Silva
  8. Trevoh Chalobah
  9. Levi Colwill
  10. Marc Cucurella
  11. Ben Chilwell
  12. Reece James
  13. Malo Gutso
  14. Ian Maatsen
  15. Enzo Fernandez
  16. Moises Caicedo
  17. Romelo Lavia
  18. Lesley Ugochukwu
  19. Carney Chukwuemeka
  20. Conor Gallagher
  21. Raheem Sterling
  22. Mykhailo Mudryk
  23. Noni Madueke
  24. Nicolas Jackson
  25. Christopher Nkunku
  26. Armando Broja
  27. Cole Palmer
HAPO VIPI?
 
Usajili wa Chelsea 2023/24

Waliosajiliwa First team:
Christopher Nkunku - Liepzig
Nicolas Jackson - Villarreal
Ângelo Gabriel - Santos
Lesley Ugochukwu - Rennes
Axel Disasi - Monaco
Robert Sanchez - Brighton
Moisés Caicedo - Brighton
Roméo Lavia - Southampton
Djordje Petrović - New England Revolution
Cole Palmer - Man City
Kendry Paez - Independiente del Valle
Dujuan Richards - Phoenix Allstars

Academy
Diego Moreira - Benfica
Alex Matos - Norwich
Ishe Samuels-Smith - Everton
Deivid Washington - Santos
Ollie Harrison - Newcastle
 
Pochettino akimuelezea Cole Palmer:
"Ana ufanisi wa kucheza kati ya mistari, nambari 10, mchezaji wa kuchezeshaa wenzake (playmaker). Ni mchezaji ambaye ni tofauti na wachezaji tulionao. Anaweza kucheza upande winga wa kushoto au kulia.

Anaweza kucheza 1x1 na kuingia ndani na kuwaunganisha wenzake kwa kucheza. Kisha anaweza pia kucheza kama nambari 10 kwani ana ubora kwenye hilo. Anaweza pia kucheza nambari 8 kwa kuwa ana uwezo wa kutoa pasi kwa kwa usahihi"

1693616510528.png
 
Wesley Fofana ndiye beki wa tano kwa bei ghali zaidi duniani na wa nne katika EPL bado atakaa nje ya uwanja kwa msimu mzima!
alikosa mechi 41 mnamo 21/22,
11 mnamo 22/23 na
atakosa mechi 38+ mnamo 23/24
Je, kosa ni la nani? Je, ni timu yetu ya matibabu au mchezaji mwenyewe?
1693618102110.png
 
Zaidi ya 80% ya mashabiki wa Chelsea walitaka Gallagher wabaki, asiuzwe
Zaidi ya mashbiki 88% wamepiga kura Ian Maatsena abaki
Sijapata matokeo kamili ila mashabiki wengi wamefurahi Chalobah hajauzwa au kutolewa mkopo kwa sababu anaipenda Chelsea na ana nia ya kupigania kucheza.
Forest walitaka kumnunua kabisa kwenye deadline day lakini Chalobah alikataa kwani yeye alitaka kama ni kuhama Chelsea iwe ni Bayern Munich tu
Spurs walitoa pauni mil 35 kwa Gallagher ila naye aliwakataa na pia kuna ofa nyingi nyingi alizikataa ili tu abaki Chelsea. Juzi juzi alitoa ushuhuda wake ya jinsi alivyojiunga Chelsea akiwa mdogo na ndoto zake alizokuwa nazo kwenye kufanikiwa ndani ya Chelsea. Anasema hakuwahi kuwa na wazo la kuihama Chelsea
 
Zaidi ya 80% ya mashabiki wa Chelsea walitaka Gallagher wabaki, asiuzwe
Zaidi ya mashbiki 88% wamepiga kura Ian Maatsena abaki
Sijapata matokeo kamili ila mashabiki wengi wamefurahi Chalobah hajauzwa au kutolewa mkopo kwa sababu anaipenda Chelsea na ana nia ya kupigania kucheza.
Forest walitaka kumnunua kabisa kwenye deadline day lakini Chalobah alikataa kwani yeye alitaka kama ni kuhama Chelsea iwe ni Bayern Munich tu
Spurs walitoa pauni mil 35 kwa Gallagher ila naye aliwakataa na pia kuna ofa nyingi nyingi alizikataa ili tu abaki Chelsea. Juzi juzi alitoa ushuhuda wake ya jinsi alivyojiunga Chelsea akiwa mdogo na ndoto zake alizokuwa nazo kwenye kufanikiwa ndani ya Chelsea. Anasema hakuwahi kuwa na wazo la kuihama Chelsea
Hao wachezaji ni wehu, yaan wanakataa ofa kisa wanaipenda chelsea?! Hasa hasa huyo Mirasta Michafu,Wachezaji wote waliouzwa wangesema hivyo ina maana kusingekua na biashara.
 
Majeruhi bado yanatuandama mno..... ( 9) ni wagonjwa kuelekea mchezo wa leo na Nottingham forest.

Reece James (hamstring),
Christopher Nkunku (Knee),
Wesley Fofana
(knee),
Marcus Bettinelli (knee),
Trevoh Chalobah (hamstring)
Carney Chukwuemeka (knee)
Romeo Lavia (match fitness),
Armando Broja (knee)
Benoit Badiashile (hamstring)
 
Majeruhi bado yanatuandama mno..... ( 9) ni wagonjwa kuelekea mchezo wa leo na Nottingham forest.

Reece James (hamstring),
Christopher Nkunku (Knee),
Wesley Fofana
(knee),
Marcus Bettinelli (knee),
Trevoh Chalobah (hamstring)
Carney Chukwuemeka (knee)
Romeo Lavia (match fitness),
Armando Broja (knee)
Benoit Badiashile (hamstring)
Na ndio maana nimefurahi Gallagher, Maatsen na Chalobah kubaki, umuhimu wao tutauona mbeleni
Hapo Fofana na James waondoe kama wachezaji wa Chelsea
Kaktika timu ya wachezaji 27 kwa uhalali tunao 25 tu na katika hao bado yuko Chilwell
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom