Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tukiweka Ushabiki Pemben Tukaliongea Soka Kwa Weledi Chelsea Wanacheza Soka Safi Kuliko Manjesta United Ya ten Hag Butua Butua
Nyumbu ni rahisi ku-bounce back kuliko hiki kikundi cha Rastafarians

Broja kawa bora naona kidgo kuliko Jackson ana mapepe san mtazamo
Bado Jackson ni mzuri kuliko broja, time will tell
Tatizo kubwa la Broja ni kuotea
Pili kukosa movement nzuri golini, of course hata Jackson anayo hiyo
Uzuri wake ana umiliki mzuri wa mpira
Jackson ni mzuri kwenye kunyang'anya mipira au kupora
Nadhani pia jackson ni a bit clinical kuliko Broja
Na pia Jackson mwesi wa kuamua au kufanya maamuzi ya kupasi au kkupiga shuti
 
Nyumbu ni rahisi ku-bounce back kuliko hiki kikundi cha Rastafarians

Hapana Mkorea , wale nyumbu hata Burney ana wa outplay, kitu ambacho Chelsea hawezi kukubali

huwa nasema Chelsea wapo karibu Sana kuya overcome matatizo Yao kuliko nyumbu

Picha linaanza nyumbu hata kumiliki Mpira hawawezi

Chelsea Wana takwimu nzuri Sana ambazo zinawapa picha wapi wasahihishe ,

Ni moja ya timu inayomiliki mpira vzr

Ni moja ya timu 10 Bora inayowafanya wapinzani warudi nyuma

Ni moja ya timu ina create nafasi nyingi

Hawa majeruhi wanawaandama kweli

Wanakosa umakini pale mbele ,

Ni timu ambayo tayari ina playing style yakueleweka ,so inawapa urahisi hata mabosi kujua wapi warekebishe ,

Sasa manjesta pale kila mchezaji wanakwambia mbaya

Timu kumiliki mpira hata kwa Burney hawawezi,
 
Chelsea wanacheza vizuri kama timu zingine kubwa tangu ligi ianze
Tatizo letu kubwa ni ufungaji
Fuatilia statistics za Chelsea utagundua hili
Man city tu ndio waliofungwa magoli machache kuliko Chelsea; City (5) na Chelsea (6)
Midfield na Defence tumekaa solid. Only mbele ndio wametuangusha
  1. Mechi na Liverpool tuliwa outplay
  2. Mechi zilizofuata hata kama hatukuwa kwenye best level ila opponent tuliwazidi
  3. Tukifanikiwa kutatua issue ya ufungaji, tunaweza kwenda double figure bila kufungwa
 
Hapana Mkorea , wale nyumbu hata Burney ana wa outplay, kitu ambacho Chelsea hawezi kukubali

huwa nasema Chelsea wapo karibu Sana kuya overcome matatizo Yao kuliko nyumbu

Picha linaanza nyumbu hata kumiliki Mpira hawawezi

Chelsea Wana takwimu nzuri Sana ambazo zinawapa picha wapi wasahihishe ,

Ni moja ya timu inayomiliki mpira vzr

Ni moja ya timu 10 Bora inayowafanya wapinzani warudi nyuma

Ni moja ya timu ina create nafasi nyingi

Hawa majeruhi wanawaandama kweli

Wanakosa umakini pale mbele ,

Ni timu ambayo tayari ina playing style yakueleweka ,so inawapa urahisi hata mabosi kujua wapi warekebishe ,

Sasa manjesta pale kila mchezaji wanakwambia mbaya

Timu kumiliki mpira hata kwa Burney hawawezi,
Vipi Mudryk unamsakama sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom