Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_6898.jpg

Nyie wapumbavu kwa nn hamna ‘legend’?
 
Tatizo la uhaba wa kufunga magoli halijaanza leo.

Tuchel matokeo yake yalikuwa 1 - 0, 2-1, draw au kufungwa. Chini ya TT Ukihesabu mechi tulizoshinda zaidi goli 3 sidhani kama zinazidi mbili.

Chini ya Potter tatizo la uhaba wa magoli likaendelea, hali ikawa mbaya kufungwa zaidi kuliko kushinda. Bora kwa TT timu ilikuwa solid kwenye kujilinda.

Amekuja Lampard tatizo la uhaba wa magoli likapamba moto, unaangalia mechi huoni hata dalili ya kufunga goli.

Amekuja Poch tatizo liko pale pale timu haina uwezo wa kufunga magoli.

Kwahiyo tatizo la uhaba wa kufunga magoli chini ya makocha 4. Je tatizo ni makocha, uongozi, wachezaji au nini sasa?

Kilichotokea na kinachoendelea kutokea ni uongozi kuendelea kusajili mabeki wengi wakiamini tatizo ni defensive ili hali tatizo ni attacking.

Nadhani tusajili experienced players kwenye eneo la attacking.

Ukiwa na safu bora ya ushambuliaji kule nyuma wanapata confidence ya kujilinda. Lakini wewe huna uwezo wa kufunga magoli kinachotokea ni kufungwa au kudraw.
Tatizo ni kocha, Poch akiacha ufala atapafanya vizuri, ila asipobadilika kuendelea kukumbatia wachezaji wapuuzi, ndio litakua anguko lake kama wenzie.
 
Bora julian Nagelsman ,naona falsafa zake za kijerumani zingetufaa ,soka la faster na kuattack Kwa kasi na umakini .
Huyu fala Pochetino ni clueless kama akina Lampard na Potter .
Hajui anachofanya
Pochettino anajitahidi ila ufungaji naona umemshindwa
Alizoez kuwa na Timu yenye akina Kane na Son mbele na Akina Mbape na Neymar
Huku kaja Chelsea anakutana na Nicolas Jackson anayetaka hadi kuwepo na uwazi ndipo afunge, hajui kuwa EPL hakuna timu inapanua mapaja hovyo
 
Tatizo la uhaba wa kufunga magoli halijaanza leo.

Tuchel matokeo yake yalikuwa 1 - 0, 2-1, draw au kufungwa. Chini ya TT Ukihesabu mechi tulizoshinda zaidi goli 3 sidhani kama zinazidi mbili.

Chini ya Potter tatizo la uhaba wa magoli likaendelea, hali ikawa mbaya kufungwa zaidi kuliko kushinda. Bora kwa TT timu ilikuwa solid kwenye kujilinda.

Amekuja Lampard tatizo la uhaba wa magoli likapamba moto, unaangalia mechi huoni hata dalili ya kufunga goli.

Amekuja Poch tatizo liko pale pale timu haina uwezo wa kufunga magoli.

Kwahiyo tatizo la uhaba wa kufunga magoli chini ya makocha 4. Je tatizo ni makocha, uongozi, wachezaji au nini sasa?

Kilichotokea na kinachoendelea kutokea ni uongozi kuendelea kusajili mabeki wengi wakiamini tatizo ni defensive ili hali tatizo ni attacking.

Nadhani tusajili experienced players kwenye eneo la attacking.

Ukiwa na safu bora ya ushambuliaji kule nyuma wanapata confidence ya kujilinda. Lakini wewe huna uwezo wa kufunga magoli kinachotokea ni kufungwa au kudraw.
Point yako muhimu ya kusajili wachezaji wenye kapirience lakini hata makocha tulio nao ni hewa
Hata TT mwenyewe ni ngekewa tu baadhi ya mechi nyingi Kante alicheza akiwa kwenye form na mabeki wetu walikuwa solid na kipa Mendy alikuwa kwenye form ya juu sana. Ila msimu ule wa kutimuliwa dalili za TT kutofanya vizuri zilianza kujionyesha asubuhi na mapema. Sikluwahi mimi kumfagilia sana TT, namuona ni kocha anyetembea saa nyingine na nyota njema, ila sio mzuri kwenye kujenga mfumo na falsafa ya timu
 
Bora ule mfumo wa usajili wa Abrmovich wa kusajili matured/exprienced players, kuliko huu wa bank ya Marekani kusajili mbarara nyingi.

Hizi mbarara hazitatufikisha popote hata zikishinda na kulala huko mazoezini, tunahitaji exprienced players na mchanganyiko kidogo wa mbarara.

Cha kufanya madirisha yajayo ya usajili ni kuzihamisha hizi mbarara kuzipeleka kule Strasbourg fc zikapate uzoefu na pia tupunguze kusajili wachezaji marasta bangi nyingi.
Sasa Tajiri wenu si ameamua mwenyewe kuigeuza Chelsea kama Barcelona ile iliyokuwa ikibeba kila anayekatiza mbele yake mara Bembele, mara Coutinho mpaka wakafilisika na kuishia kucheza Europa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom