The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 782
- 1,155
Labda anaangali utaifa ndio anachagua ampe nani kitambaa maana wote waliopewa awamu yake ni waingerezaHamna kocha humo, wachezaji wake muhimu ni akina Ghallagh na kitambaa cha ukapteni kampa wakati Silver ingependeza apewe. Choko sana huyo kocha.

Bado Pochinene ana uwezo mkubwa kuliko Erik 7 hag