Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mmemfunga Luton tu

kamsimamo kenu hako
20230918_110846.jpg
 
Ukweli kuhusu Conor Galagher
  • Ana juhudi sana uwanjani kuliko mchezaji awaye yote
  • Ana mentakity nzuri inayotakiwa na mchezaji
  • Anakosa clinicality, juhudi nyingi bila maarifa
  • Workrate yake kubwa lakini endproduct yake ndogo sana hivi vitu viwili vinaenda unticlockwise
  • Nilikuwa namsupport muda mrefu ila sasa ni wakati muafaka kutuachia timu asitupe pressure
  • Jana Mudryk alimpa mpira mzuri sana akapaiza juu kwa goti wakati hata kwa tumbo angefunga goli
1695047853378.png
 
Unamnunua mchezaji million 100 alafu anakuja kujifunzia kwako kucheza mpira sasa si bora udevelepo watoto wa academy
Tungenunua watoto kama Angelo tungewapata wangapi hapo
Mimi naona
1 Angelo = 5 Mudryks'
Kama Angelo alinunuliwa Pauni mil 13
Angelo 6 wangetugharimu Paunim mil 98 sawa na bei ya Mudryk
Ukiishi kwa mahesabu hii duniani itakuwa rahisi sana kwako
 
Hivi kwanini Poche anageuza siku ya mechi ndiyo siku ya majaribio? Umuhimu/ umaana wa kile kilichofanyika pre-season ni nini haswaa...Je, alivyokuwa anajinasibu kuwa anataka squad depth ya 25 players only kwa hii namba ya injured players si ndo ingekuwa balaa zaidi!?
Mimi naona tatizo la CFC linaanzia kwa mwalimu hadi mchezaji mmoja mmoja.
 
Ukweli kuhusu Conor Galagher
  • Ana juhudi sana uwanjani kuliko mchezaji awaye yote
  • Ana mentakity nzuri inayotakiwa na mchezaji
  • Anakosa clinicality, juhudi nyingi bila maarifa
  • Workrate yake kubwa lakini endproduct yake ndogo sana hivi vitu viwili vinaenda unticlockwise
  • Nilikuwa namsupport muda mrefu ila sasa ni wakati muafaka kutuachia timu asitupe pressure
  • Jana Mudryk alimpa mpira mzuri sana akapaiza juu kwa goti wakati hata kwa tumbo angefunga goli
View attachment 2753724
Conor angekua na akili ya mpira plus juhudi alizonazo angekua bonge moja la mchezaji, sema ndio hivyo juhudi nyingi akili kisoda.

Kupga foward pass kwake ni mtihani. Halafu sijui Poch ndio kawaelekeza pass zote ziende kwa Sterling kitako.
 
Bora ule mfumo wa usajili wa Abrmovich wa kusajili matured/exprienced players, kuliko huu wa bank ya Marekani kusajili mbarara nyingi.

Hizi mbarara hazitatufikisha popote hata zikishinda na kulala huko mazoezini, tunahitaji exprienced players na mchanganyiko kidogo wa mbarara.

Cha kufanya madirisha yajayo ya usajili ni kuzihamisha hizi mbarara kuzipeleka kule Strasbourg fc zikapate uzoefu na pia tupunguze kusajili wachezaji marasta bangi nyingi.
Na wamepewa mikataba ya miaka 8 hadi 9 + 1 ya nyongeza
 
Ukweli kuhusu Sterling
Sterling tangu akiwa Liverpool, anacheza kama mtoto leo anabahatisha anacheza vizuri hadi bei sokoni inapanda, kesho anaboronga ile mbaya. Hii inconsistency ndio iliyomfanya kipara akamuachia haraka
Tukimtegemea Sterling pale mbele tutangoja sana
Uchezaji wake hasa akiwa na mpira unaudhi sana, ahana ball control nzuri na sio mzuri wa kutoa pasi, hawezi kuwaunganisha wachezaji wenzake yeye kama wide player. Ni muda muafaka sasa Pochettino awer anamfanya sub tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom