The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 782
- 1,155
Aston villa wakula ngapi?
Hata mechi iliyopita alicheza wingerNaona Chilwell leo anacheza winger au
Tunapoteza magoli ya wazi kama kawaida, Leo hakuna lawama kua mipira hayaendi mbele.HT tunaomba uchambuzi kwa tulioshindwa kuangalia mechi, vipi Ghalagah ameweza kupga foward pass hata moja, vipi mipira yote bado inapelekwa kwa Sterling.
Tunatengeneza kikosiMajirani mnaendeleaje?
Labda washinde njaa [emoji91][emoji23]Nimetoka kumwambia mtu hapa team yenu ipo very competitive imekamilika nyuma na kati kasoro mbele kule mnamuitaji sana nkuku kama kuna mtu kafukia mbuz pale darajan mwende mkafukue
Ila leo mnashinda wakuu
Mpaka waseme [emoji23][emoji174]Labda washinde njaa [emoji91][emoji23]
Niliwatumia hii[emoji115]Mpo nyumbani View attachment 2760872