Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa watoto wanapiga nyeto sana si bure , hizi injuries gani nusu kikosi full time injuries msimu mzima ?
 
Kila kitu kitakaa sawa na Tne Blues tutachukuwa UEFA kabla ya Arsenal na Man Utd
 
Nilikwambia kwa kipa Sanchez mtapigwa had na timu za mchangani

Ulikuwa unamfananisha Sanchez na David Raya

Mara 100 Kepa

Hizo mechi labda ya manjesta ndio mtaokota point
Hata siku moja sikuwahi kumkubali Sanchez, Mimi ndie nilikuwa napost hapa stats za Sanchez against Kepa na kwamba Kepa alikuwa mzuri kuliko Sancheza. Mashabiki wengi wa Chelsea hakuwahi kumkubali Sanchez. Uongozi hapo ulichemka kwa kweli. Raya ni GK mzuri hakuna anayepinga ni bahati mbaya tu umaskini wenu umewaforce kumtoa mkopo
 
Nilikwambia kwa kipa Sanchez mtapigwa had na timu za mchangani

Ulikuwa unamfananisha Sanchez na David Raya

Mara 100 Kepa

Hizo mechi labda ya manjesta ndio mtaokota point
1694502860756.png
 
Tunaendelea kucheza na injuries za double figures kama msimu muliopita
Majeruhi ni 10-12 hadi msimu uishe halafu anakuja kocha mwenye uzoefu kama Pochettino anasema anataka squad ya wachezaji 22 ili huyo alisomaga mahesabu darasani kweli
Kwamba kwenye 22 ukitoa majeruhi 10 unabakiwa na wachezaji 12 wa kuwategemea
Kwamba wacheze 11 halafu mmoja tu ndie anabaki sub??
Pochettino hajielewi kabisa
1694503457995.png
 
View attachment 2746693
Kenge bado hamjasema
 
Remember the name ⚡️ PAEZ ⚡️
~ 25 / 26 season.

• He will join Chelsea after his 18th
birthday on May 2025

ℹ️ @Chelsea_fc_worldwide
IMG_20230914_082132_241.jpg
 
"wah gwaan UP ALL Children OF JAH RASTAFARI SELASSIE I!!!
Iman Just want to SAY GREETINGS. Feeling JAH vibes and the Love of HIM, so respect and One Love everytime.
Have a blessed sabbath, give thanks and praises!
Ras I-Tom.
H.I.M, Negusa Negast, Haile Selassie I, Emperor of Itheopia, King of Kings, Lord of Lords, Conquering Lion of the Tribe of Judah, Elect of God, Light of the Universe. RasTafarI!
rasta-ganja.jpg
 
"wah gwaan UP ALL Children OF JAH RASTAFARI SELASSIE I!!!
Iman Just want to SAY GREETINGS. Feeling JAH vibes and the Love of HIM, so respect and One Love everytime.
Have a blessed sabbath, give thanks and praises!
Ras I-Tom.
H.I.M, Negusa Negast, Haile Selassie I, Emperor of Itheopia, King of Kings, Lord of Lords, Conquering Lion of the Tribe of Judah, Elect of God, Light of the Universe. RasTafarI!View attachment 2748957

Worrap ma nigga ganja da Rastafarian de Cheltako
 
Mzee wa jambia

Kwa Mujibu Wa IFFHS Yanga Africa wamepanda nafasi 9 Kidunia Kutoka nafasi ya 72 hadi nafasi ya 63

Simba Sports imepanda nafasi 1 Kutoka nafasi ya 132 hadi nafasi ya 131

Kwa Mujibu wa IFFHS Yanga Africa ni Bora kuliko CHELSEA waliopo nafasi ya 72.Hizi takwimu huwa ndo zinanivuruga hapa tu.

Sema CHELSEA na nyie mmekuwa Wabovu mnoo Khaaaa

Takwimu hizi ni Kuanzia 1 September 2022- 31 August 2023

Note; Mnyama Simba Sports akiwa nafasi ya 20 tutakuwa na Top 20 ieleweke hivyo..This is VAYOLENSI right?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom