Kumbe dogo anasanaaKuna goal amefunga huyu dogo wa arsenal japo kiwa limekataliwa ila inaonesha ni jinsi gani dogo alivyokuwa na Sanaa ya kufunga View attachment 2752566



, Chelsea bhana. Ndio huu uchambuzi sio?Wewe bwege mimi nimeongelea nafasi aliyoipata Jackson na shoot alilopiga nje ya goal , nimeifananisha na nafasi ya martinel ambae alikua kwenye angle ngumu na akaweza kufunga. Kufunga ni SanaaKumbe dogo anasanaa, Chelsea bhana. Ndio huu uchambuzi sio?
Jah bless wi ol"wah gwaan UP ALL Children OF JAH RASTAFARI SELASSIE I!!!
Iman Just want to SAY GREETINGS. Feeling JAH vibes and the Love of HIM, so respect and One Love everytime.
Have a blessed sabbath, give thanks and praises!
Ras I-Tom.
H.I.M, Negusa Negast, Haile Selassie I, Emperor of Itheopia, King of Kings, Lord of Lords, Conquering Lion of the Tribe of Judah, Elect of God, Light of the Universe. RasTafarI!View attachment 2748957
Sisi ni nduguThe bond between Manchester United and Chelsea is growing stronger and better![]()
Unamnunua mchezaji million 100 alafu anakuja kujifunzia kwako kucheza mpira sasa si bora udevelepo watoto wa academyMudryk katengeneza nafasi nyingi kuliko wachezaji wote uwanjani
The bond between Manchester United and Chelsea is growing stronger and better![]()



Ukiingia kwenye jukwaa la Man Utd na kusoma comments za Mashabiki moyo unajaa majonzi na kuhisi timu inashuka daraja, ila ukiingia kwenye jukwaa la Chelsea na kusoma comments za mashabiki wao unajikuta unatabasamu na kuhisi kama vile Man Utd tunaongoza ligi

poleni sana ndugu zangu wa Chelkenge nimejaribu kuvaa viatu vyenu lakini hata vidole tu vimeshindwa kuingia. Bado tunasuka kikosi
Kuna tofauti ya kusuka kikosi na kusuka dredi
View attachment 2752802



verifaidi yuza wewe ni konyo sana aiseeeeeHumu nitafungua kibanda niuze KAHAWA ya motoooo, I promise
Hili haliwezi kuwa jukwaa la soccer, mods nipeni kibali niuze kahawa humu![]()

