Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea nayo imelaaniwa unauza Gilmor ambae anapga pasi kama Xavi unabaki na takataka Gallagah asieweza kupga hata foward pasi moja dk.90 halafu Gallagah ndio anamngangania kuwa mchezaji wake muhimu.
Nishaanza kutilia shaka uwezo wa Poch.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kama vipi tuihamishe Chelsea ikacheze ligi kuu ya Jamaica [emoji1135] maana sasa hivi Marastafarians wote ukiwaambia wakutajie timu yao ya taifa wanasema Chelsea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_386854997_470x680.jpg
 
Silva ameanza kuwa mzigo, Colwill yuko slow kukaba na kufanya covering. Sanchez hawezi kudive. Tunashida kocha asipofanya mabadiliko
1693691892124.png
 
Timu la hovyo lilikuwa linabebwa na Reece James [emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom