kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,778
- 12,187
Tatizo mlikua mnasajili kwa kushindana na LiverpoolTumesajiri wachezaji machachari na sio hatariView attachment 2736821
Tatizo mlikua mnasajili kwa kushindana na LiverpoolTumesajiri wachezaji machachari na sio hatariView attachment 2736821
Kwa huyo Kipa pazia hata nafasi ya 6 nawatoaMkuu we si ndo unawapaga nafasi ya compete top 4 wewe au sio wewe
Hahahaha eti simbilisiHahahahahaha simbilisi zimeliooowaaa
Huyo huwa hana akiliMkuu we si ndo unawapaga nafasi ya compete top 4 wewe au sio wewe
Kwa maoni yangu Caicedo kacheza vizuri pamoaj na individual error. Kuna tackle nyingi sana kazifanya. Tatizo leo ni formation na kule mbele hawakujituma na kutumia akili akiwemo Jackson. Akija Broja kocha awe anawarotate ili akili iwajie tenaKwani caicedo hakuwepo kuwasaidia Chelsea?si walisema anapiga kazi sana?au ilikua ni ngonjera?
😝😝
Ana safari ndefuKumbe Jackson ni comedian atuambiani View attachment 2736939
Hapa hata aje pep ,hamna kitu mzee .Laana ya Abrahmovich hiiKwa kweli tuna laana. . . .
Sijaangalia mpira ila naona kama kushuka daraja kunatuita.
Andiko refu kumbe NGIRIPORI mkia juu tu[emoji1787][emoji1787]Timu imeoza yoteChangamoto zilziojitokeza nyingi kaisababisha kocha mwenyewe
Tulitakiwa kuendelea na ile formation ya Pre season ya 4-2-3-1
Hii ya 3-4-2-1 inamfanmya Chilwell anazurura tu na kuwa mzigo kwa wenzake
Akisha pitwa Chiulwell au mid wakipoteza mpira huyu Gusto na Chilwell hawawezi kurudi kufanya backline ya 5 ndio matarajio ya hii formation
Pochettino kuamini kuwa ile timu iliyocheza na Luton ilicheza vizuri ni uduwanzi mkubwa
Siku ile mimi nilisema kuwa pamoja na kuwabandua Luton 3 - 0 bado Chelsea haukucheza vizuri. Tatizo kubwa la leo like pale pale tulipocheza na Luton
Kocha pia aanze kumpa nafasi kipa mpya ambaye ana rekodi ya shot stopper
Kule mbele bado ni butu, Jackson hajui kuwa kwenye maeneo ya kimkakati kama anavyofanya Haaland. Hii ndio sifa mojawapo ya striker. Kuna krosi kadha wa kadha ambazo angetime angeweza kutap na kuwa goli
Kiujumla hatuendi vizuri, tunatarajia tuje kubeba point na timu kubwa hapana, hawa forest kama ilivyokuwa Luton ndizo timu za kuchukua points tena asubuhi sio jioni
Kosa lingine ni kocha kuchelewa kufanya sub, Mudryk, Cole, Madueke, Maatsen walitakiwa waingie mapema ili kupata muda wa kubadili mchezo
Maoni
Turudi kwenye formation yetu ya 4-2-3-1
Chilwell awe anaingia sub, hiyo nafasi yake aanze Maatsen
Jackson asiwe anacheza hadi mwisho
Petrovic awe anaanza badala ya Sanchez
Kocha awafundishe wachezaji kuruka, leo forest wametuzidi kwa mipira ya juu
Kocha pia awafundishe wachezaji direct football ili kutia kashikashi kwenye lango la wapinzani
Yani mashabiki wa chelsea hatuna raha hata kiduchu [emoji24]Chelsea nayo imelaaniwa unauza Gilmor ambae anapga pasi kama Xavi unabaki na takataka Gallagah asieweza kupga hata foward pasi moja dk.90 halafu Gallagah ndio anamngangania kuwa mchezaji wake muhimu.
Nishaanza kutilia shaka uwezo wa Poch.