Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea nayo imelaaniwa unauza Gilmor ambae anapga pasi kama Xavi unabaki na takataka Gallagah asieweza kupga hata foward pasi moja dk.90 halafu Gallagah ndio anamngangania kuwa mchezaji wake muhimu.
Nishaanza kutilia shaka uwezo wa Poch.
Aseeh namuangalia hapa BILLY GILMOUR anavyotulia hapa katikati , anavyozitawanya pass bila uoga yani hana tofauti na ENZO pamoja na umbo lake dogo lakini anajiamini balaa , kuna timu itakuja kumnunua kwa 100+ M
 
TODDY anavyomchungulia FERGUSON baada ya kuona amepiga hat trick mechi ya leo
20230902_195149.jpg
 
Mtu mweusi na mpira wapi na wapi

Ndio maana Pep hataki hata kuwasikia

Unatia weupe 9 mweusi mmoja hapo utashinda.

Timu gani imechukua kombe na weusi 8 uwanjani

Sie tubaki kuuza mali zetu
Ufaransa WC2018
 
Chelsea nayo imelaaniwa unauza Gilmor ambae anapga pasi kama Xavi unabaki na takataka Gallagah asieweza kupga hata foward pasi moja dk.90 halafu Gallagah ndio anamngangania kuwa mchezaji wake muhimu.
Nishaanza kutilia shaka uwezo wa Poch.
Jamaa hapa hata akija mbappe ni kazi bure. Huyo Gallagher ukiwapatia hao Brighton utamtamani tena
 
Nashindwa kumuelewa Pochetino, kulikuwa na haja gani kwenda pre season na kutumia mfumo ambao kwenye league huwez tumia.

Hii tabia ya kumtumia Chilwel kama LW ifeee, na huku kutumia 3CB wakat kwa pre season ulikuwa hutumii ni ujinga wa hali ya juu.

Unatest mifumo.kwenye league wakat wa pre season ilikuwa hutumii
 
Angalia master class ya Yule dogo Billy Gilmour tena tokea academy ya Chelsea alivyowaaibisha timu ngumu kama Newcastle leo .Sisi tulimuona hafai
Bill Gilmour master class Leo .
Kocha kocha + foundation.
 
Nashindwa kumuelewa Pochetino, kulikuwa na haja gani kwenda pre season na kutumia mfumo ambao kwenye league huwez tumia.

Hii tabia ya kumtumia Chilwel kama LW ifeee, na huku kutumia 3CB wakat kwa pre season ulikuwa hutumii ni ujinga wa hali ya juu.

Unatest mifumo.kwenye league wakat wa pre season ilikuwa hutumii
NGIRIPORI FC
 
Benchi la ufundi na management nzima ya Chelsea ni ya ovyo ,angalia timu kama Brighton , one of the best run football clubs in epl , hata magalasa yanaenda pale yanageuka dhahabu
Tottenham Hotspur FC wanacheza pira biriani na wanafunga magoli ya akili balaa.

Pochettinho out, out, oooouuuutttt......

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nashindwa kumuelewa Pochetino, kulikuwa na haja gani kwenda pre season na kutumia mfumo ambao kwenye league huwez tumia.

Hii tabia ya kumtumia Chilwel kama LW ifeee, na huku kutumia 3CB wakat kwa pre season ulikuwa hutumii ni ujinga wa hali ya juu.

Unatest mifumo.kwenye league wakat wa pre season ilikuwa hutumii
Na sijui anafanya experiment gani na huo mfumo wake wa ovyo wakati umeshaprove failures tangia mechi ya Westham
 
Ngiripori fc, huyo todd wenu hajui chochote kuhusu mpila ananunua nua tu wachezaji bila kichwa wala miguu

Juzi mnamchukua dogo striker wa man city, wakati anacho kioffer ni kile kile kama mwenzake jackson.

Mko desperate, timu huchanganywa wakubwa na wadogo sasa nyie wote wadogo alafu mabishoo sanaaaa
 
Chelsea FC ya mabishoo A.K.A Rastafarians

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom