Tuna hitaji muda kila kitu kipyaSijui ni Tuchel's curse ,sijui ni Abrahmovich curse ,yaani nashindwa hata kuelezea aisee .Maana Dah !
Shida mfumo makocha wanaokuja chelsea hawajielewi kabisa wanataka niniJamaa hapa hata akija mbappe ni kazi bure. Huyo Gallagher ukiwapatia hao Brighton utamtamani tena
Hapo ndo nakopata wasiwasi na huyu kocha yani hajielewi kabisa na asipobadilika Xmas hafikiNashindwa kumuelewa Pochetino, kulikuwa na haja gani kwenda pre season na kutumia mfumo ambao kwenye league huwez tumia.
Hii tabia ya kumtumia Chilwel kama LW ifeee, na huku kutumia 3CB wakat kwa pre season ulikuwa hutumii ni ujinga wa hali ya juu.
Unatest mifumo.kwenye league wakat wa pre season ilikuwa hutumii
Hata Enrique asingefanikiwa maana huko Psg bado hali mbayaKumkosa Enrique nikosa kubwa sana kuwah kulifanya
Nafikiri tungeenda mbali zaidi kutafuta mwalimu ambae anatoka ligi za mataifa kma Spain au ureno timu kma Lisbon au benifica akaja akatafuta muunganiko wa wachezaji halafu tuende kw makocha haw wenyeajina najaribu kuwaza tu maaana naona kma pochetino anafundisha mpira wa zamani spurs mf kocha wa spurs naw wanacheza mpir mzuri sana kla kw upNde mwingine tunahitaji muda sana maana majeruhi nayo wapone huenda tunaweza tuka clickHata Enrique asingefanikiwa maana huko Psg bado hali mbaya
Management wamekosa nini sasa, wao hawahusiki na uwanjani, wachezaji wazuri wapo, pre season tulicheza vizuri, mfumo falsafa zote zilikaa sawa, huyu kichwa maji anayeitwa Pochettino kaja na mfumo tofauti na ule wa Preseason. Unajaza mabeki nyuma kwa kitimu kama Forest utaachwa kupigwa. 4-2-3-1 ilileta matunda mazuri pre-season lakini Pochettino tangu ligi ianze anatumia 3-4-2-1 formation ambayo haian wachezaji wazuri wa kuwaweka uwanjaniBenchi la ufundi na management nzima ya Chelsea ni ya ovyo ,angalia timu kama Brighton , one of the best run football clubs in epl , hata magalasa yanaenda pale yanageuka dhahabu
Ndio maana mimi namuita kichwa maji kweli kweliNashindwa kumuelewa Pochetino, kulikuwa na haja gani kwenda pre season na kutumia mfumo ambao kwenye league huwez tumia.
Hii tabia ya kumtumia Chilwel kama LW ifeee, na huku kutumia 3CB wakat kwa pre season ulikuwa hutumii ni ujinga wa hali ya juu.
Unatest mifumo.kwenye league wakat wa pre season ilikuwa hutumii
Leo mbona hawakucheza slow, mpira ulichezwa vizuri. Tatizo kuu ni tatcical problem ya kocha kung'ang'ania 3-4-2-1 badala ya 4-2-3-1This team has no modern football identity. Slow pass sijui mchawi nani wachezaji wanabadilishwa lakini wanakuja kuadapt mpira wa slow. Mfano tu unacheza na timu inayopak basi unawin possession from corner kick wachezaji wanabakia kwenye box lao wanasubiri opponent warudi kwenye zone yao then mpira unaanzisha nyuma ukifika katikati unakuta basi limeshafika stand unaanza back basi kwa kipa. Hii kitu inakera sana ni zaidi ya makocha 4 wamefeli kubadilisha hii mentality since kipindi cha Conte. Sijui mchawi nani
Future top scorer wetu huyo. Ana first touch nzuri, sio mchoyo, anajua kujiposition. Perfect CF level moja na kina Osimhen ea NapoliJackson nae ni takataka tu