Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tukiambulia point 3 hapa niitwe paka mweusiView attachment 2737446
Utashangaa hapo ndipo tukapata points nyingi. Refer game ya Liverpool
Halafu kinachotuangusha ni silly individual mistakes plus defense yetu bado haiko stable
Silva msimu huu atatutobolesha sana
Colwill na Disasi bado wachanga. Kipa Sachez kimeo kuliko Kepa
Mbele hakuna no 10 creative, Jackson bado sana
Chukwumekea alishajua naman ya kuwachezesha wenzake hasa mbele
Nkunku ni mzoezu ila yuko kitandani
James Mr Captain yuko wodini
Hii Chelsea tukitoboa msimu huu basi tu
 
Mkuu huyo Mudi hata muda wa kucheza tangu kaja Chelsea hapati ila mie naaamin ni mchezaji mzuri sana sema Chelsea macho yao yanfunikwa na uengereza
Sasa hata huo muda hizo dkk 15 anazopewa hakuna cha maana touch zake mbovu anachowaza ni kukimbia tuuh ,
 
Liver ambayo haikuwa na dm na timu ilikuwa haina muunganiko kwny mido ndo mjisifu kwa mpira upi tatizo la chelsea mna wavulana wengi sana kwny safu ya ushambuliaji hakuna wanaume ambao wana weza badili nafasi moja tu kuwania point zote tatu
 
Utashangaa hapo ndipo tukapata points nyingi. Refer game ya Liverpool
Halafu kinachotuangusha ni silly individual mistakes plus defense yetu bado haiko stable
Silva msimu huu atatutobolesha sana
Colwill na Disasi bado wachanga. Kipa Sachez kimeo kuliko Kepa
Mbele hakuna no 10 creative, Jackson bado sana
Chukwumekea alishajua naman ya kuwachezesha wenzake hasa mbele
Nkunku ni mzoezu ila yuko kitandani
James Mr Captain yuko wodini
Hii Chelsea tukitoboa msimu huu basi tu
Sio rahisi Chelsea kupata alama 3 kwa sasa hivi mbele ya City, United, Arsenal, Newcastle, Brentford, Aston Villa au Brighton hata kama hizi timu zisipokuwa na form mzuri.

Kosa kubwa sana la kiufundi lilofanyika Chelsea ni kuondoa wachezaji wazoefu kwa mkupuo bila kuwa na mibadala sahihi. Vijana wadogo hawawezi kukufikisha popote pale.

Hakuna timu barani Ulaya imewahi kufanya vizuri na kikosi kilichosheheni vijani wadogo kwa zaidi ya asilimia 70%. Jaribu kufanya observation kipindi Manchester United ikiwa ya moto chini ya Fergie, Arsenal ya invicibles chini ya Wenger, Barcelona ya Rijkard, Guardiola na Enrique, Madrid ya Ancelotti na Zidane, Bayern, Liverpool hata Chelsea ya Mourinho pamoja na City ya sasa hivi ya Guardiola.
 
Timu ikijaza vijana wadogo ngonjera zitakuwa tunajenga timu kila siku. Vijana wadogo hawapaswi kuwa wengi kikosini. Umri sahihi wachezaji wanaopswa kuwa wengi ni miaka 23 mpaka 28. Umri huu ni watu wasio na cha kujitetea wapo ktk umri wa ushindani.
 
Kosa lingine ni kutokuwa na mwalim sahihi.

Poch ni mzuri ila tactical sio mtu sahihi.

Angalia Kocha wq spurs Angie alivyowabadilisha spurs katika kipindi kifupi.
Jinsi wakina Udogie na Porro wanavyoshambulia Son ,Madison,Kulusevski etc

Halaf njoo kwa poch sasa pre season umejarib 4231 na wachezaj wakaonekana kuadapt huo mfumo halaf kwenye league unajaribu kitu ambacho ujakifanyia kazi
 
Mkuu huyo Mudi hata muda wa kucheza tangu kaja Chelsea hapati ila mie naaamin ni mchezaji mzuri sana sema Chelsea macho yao yanfunikwa na uengereza
nAkubaliana na ww 100% kocha anafanya makosa yale yale ya kina potter, ana wachezaji kibao benchi wazur, yeye amekomaa na kina Ghalagah asieweza hata kupgia foward pasi moja kw usahihi.
 
Blues tuwe watulivu tumpe muda pochetino,ila Kuna maamuzi nje ya uwanja mabovu unamkataa vipi lukaku wakati hakuna straika Chelsea Kumejaa forwards na wings ,lukaku hawezi kukosa chances anazokosa Jackson, penalties lukaku ni 99.999% anapata ,inafikirisha sana.Lukaku na uzito wake hii ligi hawezi kukosa goli kumi
 
Tuchel alisema:-

Same Players, same Problems.

Now ni New Players, Same Problems
Shida ni kocha sasa, Una wingers wa kutosha njee ila cha ajabu unawaweka njee na nafas yao anachukua chilwell, halaf hali ikiwa ngumj ndio anawaingiza sasa.

Wape nafas na si dakika 10-15 za kucheza.

Poch asipobadilika huu msim utakuwa mrefu sana na tutakuwa kituko haitaji uwe na phd kuona shida ni nini.
 
Sasa hata huo muda hizo dkk 15 anazopewa hakuna cha maana touch zake mbovu anachowaza ni kukimbia tuuh ,
Mudryk hana convidence kwa sababu kocha hakumpa
Kwa mchezaji anayetoka ligi ndogo na umri mdogo anahitaji kuaminiwa, kutiwa moyo na kusukumwa ili afuate maelekeoz ya kocha Dizerbi ndivyo anavyofanya.
Huku Chelsea kuna utamaduni wa kuwatia wachezaji kwenye presure kama kocha mwenye alivyo na presure ya kuogopa kutimuliwa
Hii dhana ya kushindania nafasi haifai kwa kila mchezaji
Mchezaji kama Sterling anatakiwa kushindania nafasi ila wachezaji kama Angelo, Deivid, Mudrk, Maatsen, na wale wote U21 wanatakiwa kuaminiwa na kupewa muda wa kutosha huku wakipewa maelekezo ya kimbinu, kutiwa moyo, kupewa inspiration, kusukumwa bila kuchoka. Hazard alipohamia mwka 2012 alipewa muda wakutosha, alikuwa na miaka 21, baada ya kufanywa hivyo ndipo akaja kuwa mchezaji hatari
Kwa wasiojua Hazard alikuwa mvivu sana kwenye hiyo miaka ya 21
Naomba Mungu Pochettino ampe muda wa kutosha sio chini ya 30mins kila game
Evan Ferguson ana miaka 18 tu na ameshakuwa mwiba pale Brighton, Angekuwa Chelsea angepewa huo muda? au angepelekwa kwenye mkopo chap chap akajinoe huko hata kama kashanoleka
Angalia Angelo, Casadei, Andrey Santos hasa Angelo na Casadei wangefaa kabisa kucheza Chelsea lakini wamepelekwa mkopo
Hata huyui Deivid Washington alikuwa apelekwe tu ni kwa sababu muda uliisha na spots za international loan ziliisha
Chelsea yetu imelaaniwa, kwanza tuiondoe hiyo laana ndipo turudi kucheza mpira
 
Kiukweli sikuona kosa la silver, ila Colwil ndio aliyetuchomesha na kipa pazia, bora Kepa na Mendy mara 800
Fuatlia magoli ya Westham na hii ya Forest Silva hakuweka jitihada
Tatizo kubwa la Colwill anachezeshwa kama LB, Poche ndie wa kulaumiwa, pale walicover ambapo Silva na Disasi walitakiwa kuwepo. Kwa hiyo Kosa nio ;la Disasi na Silva
 
Shida ni kocha sasa, Una wingers wa kutosha njee ila cha ajabu unawaweka njee na nafas yao anachukua chilwell, halaf hali ikiwa ngumj ndio anawaingiza sasa.

Wape nafas na si dakika 10-15 za kucheza.

Poch asipobadilika huu msim utakuwa mrefu sana na tutakuwa kituko haitaji uwe na phd kuona shida ni nini.
Tangu tuanze ligi formation inayotumika ni 4-2-3-1. Kosa la Pochettino ni kuwachezesha wachezaji nje ya nafasi zao
Chilwell anachezeshw akama LW
Colwill kama RB

-----------Jackson------------

----Chilwell --Enzo ---Sterling---

-----Caicedo ------Galagher---

Colwill----Siva----Disasi----Gusto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom