Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kaka nyamnyamHii Aser8 tukikutana nayo itatufunga magoli mengi sana
Bado hamjakutana na sisi
Tunawaua kabisa
Kaka nyamnyamHii Aser8 tukikutana nayo itatufunga magoli mengi sana
Colwil anachezeshwa kamq LB.Tangu tuanze ligi formation inayotumika ni 4-2-3-1. Kosa la Pochettino ni kuwachezesha wachezaji nje ya nafasi zao
Chilwell anachezeshw akama LW
Colwill kama RB
-----------Jackson------------
----Chilwell --Enzo ---Sterling---
-----Caicedo ------Galagher---
Colwill----Siva----Disasi----Gusto
Typing error ni LBColwil anachezeshwa kamq LB.
Wachezaji prospect kama Mudryk ni lazima apewe dakika ili akue kwenye talent yake. Billy Gilmour huku tulimuona kama garasha tukamuuza pesa ndogo. Kama Chelsea ikianzisha move ya kumnunua sasa hivi itamnunua sio chini ya 80m, akili za hao wanaofanya maamuzi ndizo garasa haswa. Sisi tumekazana kuwapeleka wachezaji mkopo. Casadei ni attacking mid mzuri sana na kaonyesha hivyo kwenye mashindani mbalimbali ikiwemo pre season, yuko wapi sasa hivi. Colwill ni LCB kila mtu anajua, halafu unakuja kumchezesha LB unamuacha Silva na uzee woote wa miaka 39 katikati. Maatsena amecheza vizuri pre season unamuweka benchi mara walitaka kumuuza mara walitaka kumtoa mkopo hadi mchezaji akakataa. Nini maana ya Pre-season. Kila kocha hata awe mzuri namana gani wengi wao wana upumbavu unaokuja kuonekana kwenye maamuzi mbuzi wanayofanyaSababu ni zipi zinazopelekea Poche kuwachezesha wachezaji out of position?
Kocha ndio anaamka, anashinda na kulala na wachezaji.
Nini ambacho anakiona mazoezini kinachopelekea kuwachezesha wachezaji out of position?
Kwanini Mudyk na Madueke hawaaminiwi sana na kupewa nafasi za kucheza wingers?
Mudyk na Madueke wakicheza impact yao ikoje uwanjani?
Kwa sababu tunaweza tukawa tunamlalamikia kocha kumbe tulisajili magarasa.
Tuliwakosakosa sasa mnatambaKaka nyamnyam
Bado hamjakutana na sisi
Tunawaua kabisa
Matakataka katika ubora wenu bwana 😂Tuliwakosakosa sasa mnatamba
Poch hamna kocha mle alipaswa aanze na wale madogo wa preseason kama kweli anakuza vipaji kuliko huu usajiri uliofanyika wa akina Caicedo na lavia ndo umezidi kuharibu timuMudryk hana convidence kwa sababu kocha hakumpa
Kwa mchezaji anayetoka ligi ndogo na umri mdogo anahitaji kuaminiwa, kutiwa moyo na kusukumwa ili afuate maelekeoz ya kocha Dizerbi ndivyo anavyofanya.
Huku Chelsea kuna utamaduni wa kuwatia wachezaji kwenye presure kama kocha mwenye alivyo na presure ya kuogopa kutimuliwa
Hii dhana ya kushindania nafasi haifai kwa kila mchezaji
Mchezaji kama Sterling anatakiwa kushindania nafasi ila wachezaji kama Angelo, Deivid, Mudrk, Maatsen, na wale wote U21 wanatakiwa kuaminiwa na kupewa muda wa kutosha huku wakipewa maelekezo ya kimbinu, kutiwa moyo, kupewa inspiration, kusukumwa bila kuchoka. Hazard alipohamia mwka 2012 alipewa muda wakutosha, alikuwa na miaka 21, baada ya kufanywa hivyo ndipo akaja kuwa mchezaji hatari
Kwa wasiojua Hazard alikuwa mvivu sana kwenye hiyo miaka ya 21
Naomba Mungu Pochettino ampe muda wa kutosha sio chini ya 30mins kila game
Evan Ferguson ana miaka 18 tu na ameshakuwa mwiba pale Brighton, Angekuwa Chelsea angepewa huo muda? au angepelekwa kwenye mkopo chap chap akajinoe huko hata kama kashanoleka
Angalia Angelo, Casadei, Andrey Santos hasa Angelo na Casadei wangefaa kabisa kucheza Chelsea lakini wamepelekwa mkopo
Hata huyui Deivid Washington alikuwa apelekwe tu ni kwa sababu muda uliisha na spots za international loan ziliisha
Chelsea yetu imelaaniwa, kwanza tuiondoe hiyo laana ndipo turudi kucheza mpira
View attachment 2737271
Chezaji ghali zaidi kwenye premier League jana limechoma tena, dogo kaja juzi tu tayari kina Callagher wamemfundisha nyeto bladifaken






Sijui chelsea waliona nn kwa huyu kipa ni bora tungebaki na kepa wetuSanchez Ni kipa pazia atawachoma Sana
Habari zenu RASTA FC?
Wakala wa Ngomanagwa anahitaji mazungumzo na Chelsea ili Ngomanagwa asajiliwe Chelsea.View attachment 2738804
Uwanjani watu hawachezi na bangiHabari zenu RASTA FC?
Wakala wa Ngomanagwa anahitaji mazungumzo na Chelsea ili Ngomanagwa asajiliwe Chelsea.View attachment 2738804
Kwa aina ya usajili munavyofanya baada ya hiyo miaka 5 wachezaji waliopo watakuwa hawapo tena hata mmoja bali muna wengine wapya hivyo mutaendelea kujitafuta kizazi na kizazi.Wamiliki Wapya
Uongozi Mpya
Kocha Mpya
Wacheza Wapya
Sera Mpya
THE BLUES tutajitafuta sio chini ya miaka 5 kuanza kushinda tena Makombe.