Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aisee nimehakikisha kitu kinaitwa PESA achana nacho kabisa. Chelsea imeachana na wachezaji wao wote wa kikosi cha kwanza kwa 99%

Pale wamebakia wachezaji 3 tu wa zamani,
Silva,
Chilwell
James

Shikamoo fedhaaaa !!
🤣🤣🤣🤣
 
New logo
20230831_115357.jpg
 
Kwahiyo mmepigwa za uso Tena
Pochentino ni kocha fundi mno ujui nini kaona kwa huyo dogo, na ni kocha mwenye uwezo wakudevelop talent ikatoa matunda wengi humu tulibeza sana usajili wa Nicole Jackson kulingana na stats zake angalia sasa hivi nini ana offer kwenye team
 
Huyo mtoto ni mwehu, hakuna chochote atakachoongeza tupo hapa. Labda km ni wakuanzia benchi.
Ameletwa hasa kwa sababu ya No 10 ambayo inachezwa zaidi ya Chukwuemeka na Nkunku japo Nkunku akicheza LW au striker anakuwa mzuri zaidi kuliko akicheza No 10. Mtu mwingine ambay anaweza cheza no. 10 ni Enzo. Tuone Pochettino atamtumiaje kwa sababu ameidhinisha usajili wake
 
Boehly an Eghbali wa Chelsea Bado wanaendelea kusajili makinda kutoka brazil
Na sasa ni zamu ya Gabriel Moscardo (17) kutoka Corithians. Ataendelea kubaki huko kwa mkopo hadi June 2024
1693488578467.png

1693488543597.png
 
Huyo mtoto ni mwehu, hakuna chochote atakachoongeza tupo hapa. Labda km ni wakuanzia benchi.
Shida yenu mnaangalia Youtube. Hebu tutoke kwenye kushabikia Chelsea tuwe washabiki wa mpira. Mimi kila mechi naangalia huyu dogo nimemuangalia kuanzia msimu uliopita kwenye mechi alizopewa nafasi asee ni anajua sana. Dogo kila angle ana uwezo wa kutoa pass. Bila kupepesa macho hapa tumepata mchezaji
 
UPande wa kulia na hata CAM anaweza kucheza vizuri sana. Uzuri yupo chini ya kocha mzuri sio kina Lamps. Palmer ujio wake unaenda kupunguza absence ya Nkunku, Madueke na hata kina Chukwuemeka. Isajili mzuri sana huu
 
Aisee nimehakikisha kitu kinaitwa PESA achana nacho kabisa. Chelsea imeachana na wachezaji wao wote wa kikosi cha kwanza kwa 99%

Pale wamebakia wachezaji 3 tu wa zamani,
Silva,
Chilwell
James

Shikamoo fedhaaaa !!
Jumla ni £1.02bn = Tshs 3,232.635bn
= 3.2 Trillions
 
Hiki kikundi cha wavuta bangi

Cole Palmer after one week at Chelsea View attachment 2735388
Chelsea have completed a deal to sign Manchester City winger Cole Palmer on Transfer Deadline Day.

The Blues will pay an initial £40m with £2.5m in add-ons which takes the spending at Chelsea under the Todd Boehly-Clearlake Capital ownership to £1.02bn.
 
Chelsea Development Team:
  1. Beach,
  2. Williams,
  3. Hughes,
  4. Gilchrist,
  5. Samuels-Smith,
  6. Dyer,
  7. Moreira,
  8. Matos,
  9. Stutter,
  10. Castledine,
  11. Morgan.
Subs:
  1. Gee,
  2. Merrick,
  3. Boniface,
  4. McNeilly,
  5. George.
1693590134190.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom