Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cole Palmer will undergo medical tests as new Chelsea player on Thursday.

£40m fee & £5m add-ons, as revealed earlier. Time to prepare documents.
 
Usajili wa Chelsea ni vituko, wachezaji wengi wanaosajiliwa wana 10% kuja kucheza vizuri
 
UMeongea kilichokua akilini mwangu huyu dogo akipata mipira anachofikiria ni kufunga hat kama hayupo kwnye position y kufunga, ni Odoi au Madueke wakizungu. Sipendagi wachezaji kama hao basi tu ndio wameshaamua wenye timu.
 
Utapeli hautakuja kuisha Duniani

Kikundi Cha mdundiko
20230830_223221.jpg
 
Chelsea ni wehu sana
Huyu Cole ni kipaji, tatizo ni wa kusubiriwa angalau msimu mzima kama hao wengine tuliowapeleka kwenye mikopo. Ila naona Chelsea wamemnunua kuziba nafasi ya Chukwuemeka. Wsaingemtoa Casedei angetosha kabisa kuliko kupoteza Pauni zote Mil 45
 
Hatuwezi kupigwa, kawaida kipindi cha kwanza unawapa nafasi wale wasiopata nafasi kabisa
Sasa inaonyesha hawawezi
Kipindi Cha pili lazima Enzo, Caicedo, Jackson, malo na Silva waingiekati ya 45-70mins ili kuhakikisha hatuendi kwenye penalti
Jakcosn kashaingia kama nilivyosema kati ya dk 45 hadi 70 watalkuwa wameingizwa wote wachezaji muhimu ikibidi kuongeza makali ili tusije pigiana penalti na hawa vibonde
 
Pochettino na Shields wanamuona Cole Palmer akipewa majukumu makubwa ya kucheza winga wa Kulia na na. 10 akipokezana na akina Chukwuemeka na Nkunku. Kwa sasa kwa vile Chukwuemeka na Nkunku wako majeruhi, huyo Palmer ndie atabeba jahazi kwenye hiyo nafasi ya ushambulizi wa katikati ya uwanja
 
Hatuwezi kupigwa, kawaida kipindi cha kwanza unawapa nafasi wale wasiopata nafasi kabisa
Sasa inaonyesha hawawezi
Kipindi Cha pili lazima Enzo, Caicedo, Jackson, malo na Silva waingiekati ya 45-70mins ili kuhakikisha hatuendi kwenye penalti
Baada ya Malo na Enzo kuingia mpira unaleta tumaini sasa, hawa league two wanataka kutuaibisha hapa darajani
 
Palmer mzuri sema dogo ni mchoyo wa pasi , nimemuona kwenye mechi nyingi za City utakuta kuna nafasi nzuri ya kiachia pass kwa mchezaji mwenzake ila atalazimisha kupiga
Palmer ana ofa kitu ambacho hakipo kwa washambuliaji wetu
Anapenda kupiga mashuti mara anapopata nafasi hata kama ni finyu
Hii itawezesha aidha kupata magoli au nafasi za wengine kufunga kwa sababu mchezaji kama yeye mwenye kupenda kupiga mashuti na huo uwezo anao, mabeki watakuwa wanahaha na kucheza out of position katika jitihada za kumzuia asifunge. Tumuunge mkono kwa sasa na tuone ataleta nini.
Joe Shield ni mtaalamu wa kugundua vipaji kwani ni yeye yeye aligundua kipaji cha akina Foden
Wengine ni akina Olise, Jadon Santo,

Akiwa na miak 35 tu ni mmoja wa mtaalamu wa kung'amua vipaji (Tallent spotter) mzuri duniani
Yeye kwa sasa ndie mashauri mkuu wa akina Boehly na Eghbali
 
Huyo mtoto ni mwehu, hakuna chochote atakachoongeza tupo hapa. Labda km ni wakuanzia benchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom