Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,782
£45m ni hela nyingi hizi kwa mchezaji ambaye hana game time nyingi si bora tungemchukuwa KudusWanataka pauni mil 50 ila wako tayari kupokea pauni mil 45
Chelsea wametoa pauni mil 35 imekataliwa
Mwanzoni alikuwa akiuzwa mil 25/30
Wataalamu wa transfer wanadai kuwa kwa vile Chelsea hawatakubali buy back clause, city wameamua kupandisha dau hadi mil 45