Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jumla ni £1.02bn = Tshs 3,232.635bn
= 3.2 Trillions
Uefa na EPL wanafanya audit katika misimu mitatu tu na kupima kama kumetokea ukiukwaji wa FFP au la
Katika hizo misimu mitatu tujiulize
  1. Tumetumia kiasi gani?
  2. Tumeuza kiasi gani?
  3. Tumeokoa mizigo ya mishahara kiasi gaani?
  4. Tumefanya amortization ya mikataba kwa kiasi gani?
 
Pochettino akimuelezea Cole Palmer:
"Ana ufanisi wa kucheza kati ya mistari, nambari 10, mchezaji wa kuchezeshaa wenzake (playmaker). Ni mchezaji ambaye ni tofauti na wachezaji tulionao. Anaweza kucheza upande winga wa kushoto au kulia.

Anaweza kucheza 1x1 na kuingia ndani na kuwaunganisha wenzake kwa kucheza. Kisha anaweza pia kucheza kama nambari 10 kwani ana ubora kwenye hilo. Anaweza pia kucheza nambari 8 kwa kuwa ana uwezo wa kutoa pasi kwa kwa usahihi"

View attachment 2736187
Huyu no. 10 ni yake hadi akina Chukwuemeka na Nkunku warudi
Japo ushindani mkubwa kwenye no. 10 utakuwa kati ya Chukwuemeka na Cole
Nkunku ataweka ushindani kwenye nafasi ya Mudryk na Jackson
Sterling ataweka zaidi ushindani kwenye nafasi ya Madueke
Kiungo Pivot ya mbili ni Enzo, Lavia, Caicedo na Lesley
Chalobah na Malo Gusto
RCB ni Silva na Disasi na James
LCB ni Badiashile na Colwill
LB ni Chilwell na Maatsenan na Cucurella
 
Hao wachezaji ni wehu, yaan wanakataa ofa kisa wanaipenda chelsea?! Hasa hasa huyo Mirasta Michafu,Wachezaji wote waliouzwa wangesema hivyo ina maana kusingekua na biashara.
Usiwaite wehu wachezaji ambao kocha amewataka na kuwamwagia sifa
Sifa ya kwanza ya mchezaji ni mentality yake na kuipenda timu
Hao akina Mason Mount pamoja na kuwa academy wetu aliweka mbele pesa na kupoteza uzalendo na ndio maana hakucheza vizuri na hao wengine waliouzwa au kutolewa mkopo kama akina Ziyech na Lukaku
Mimi namuunga mkono Chalobah hasa kwa sababu hatakuwa first choice hadi form yake iwe nzuri

Gallagher tangu P{ochettino aje amep[ewa mechi zote na amekuza fomu yake sana. Waliokuwa wakimtaka auzwe kabla ya Pochettino walikuwa ni kama 60%-70% sasa hivi more than 80% walitaka abaki. Wewe uko wapi umemkariri yule Gallagher wa akina Potter na Lampard
Iana Maatsen tunajua uzuri wake kuliko hata Cucurella, 88% ya mashabiki wamefurahi kabaki na Pochettino pia alimtaka sana
Challobah ndio mashabiki wamegawanyika 50/50 kwa kubaki au kuondoka
Ila mimi nawaambia umuhimu wa Chalobah tutaujua James atakapochanganyia majeruhi yake ya misuli, Gusto hataweza mikikimikiki ya EPL peke yake pale kwenye RB
 
Hiki kikundi cha wavuta bangi

Cole Palmer after one week at Chelsea View attachment 2735388
Huyu angekuwepo wakati huu tungemsajili naye
1693637969024.png
 
Uefa na EPL wanafanya audit katika misimu mitatu tu na kupima kama kumetokea ukiukwaji wa FFP au la
Katika hizo misimu mitatu tujiulize
  1. Tumetumia kiasi gani?
  2. Tumeuza kiasi gani?
  3. Tumeokoa mizigo ya mishahara kiasi gaani?
  4. Tumefanya amortization ya mikataba kwa kiasi gani?
Kumbuka Chelsea imeuza wachezaji kama 12 hivi msimu huu - na waliongia wengi ni vijana wa miaka 20 - 23 ambapo wengi wao wamepewa mikataba ya miaka 6 - 8 kupunguza hizo hesabu unazosemea. Kwa hiyo sidhani Chelsea wataingia kwenye rungu la Fair Play regulations.

Christian Pulisic
July 13FWDAC Milan£19.7m/$26m
David Datro FofanaJuly 11FWDUnion BerlinLoan
Abdul Rahman BabaJuly 10DEFPAOKFree
Cesar AzpilicuetaJuly 6DEFAtletico MadridFree
Mason MountJuly 5MIDMan United£55m/$72m
Kai HavertzJuly 1FWDArsenal£60m/$79m
Mateo KovacicJuly 1MIDMan City£25m/$33m
Kalidou KoulibalyJuly 1DEFAl Hilal£19.7m/$26m
Edouard MendyJuly 1GKAl Ahli£16m/$21m
N'Golo KanteJuly 1MIDAl IttihadFree
Dujon SterlingJuly 1DEFRangersFree
Ruben Loftus-CheekJuly 1MIDAC Milan£13.7m/$18m
 
Chelsea ina net spending ndogo kuliko Arsenal na Man united kwa dirisha hili lakini bado hayo Masenyeto na Manyumbu wanataka sisi tukaguliwe na EPL kwa kukiuka FFP rules

Chelsea have a lower net spend than United and Arsenal this season but FFP need to check us apparently!
 
Kumbuka Chelsea imeuza wachezaji kama 12 hivi msimu huu - na waliongia wengi ni vijana wa miaka 20 - 23 ambapo wengi wao wamepewa mikataba ya miaka 6 - 8 kupunguza hizo hesabu unazosemea. Kwa hiyo sidhani Chelsea wataingia kwenye rungu la Fair Play regulations.

Christian Pulisic
July 13FWDAC Milan£19.7m/$26m
David Datro FofanaJuly 11FWDUnion BerlinLoan
Abdul Rahman BabaJuly 10DEFPAOKFree
Cesar AzpilicuetaJuly 6DEFAtletico MadridFree
Mason MountJuly 5MIDMan United£55m/$72m
Kai HavertzJuly 1FWDArsenal£60m/$79m
Mateo KovacicJuly 1MIDMan City£25m/$33m
Kalidou KoulibalyJuly 1DEFAl Hilal£19.7m/$26m
Edouard MendyJuly 1GKAl Ahli£16m/$21m
N'Golo KanteJuly 1MIDAl IttihadFree
Dujon SterlingJuly 1DEFRangersFree
Ruben Loftus-CheekJuly 1MIDAC Milan£13.7m/$18m
Halafu hao wanaoisema Chelsea kutumia sana kwanza hawajui tumetumia casha kiasi gani. Manunuzi mengi yanalipwa kwa installments, kuna zingine hadi zaidi ya miaka mitatu. Hapo hujaweka amortization ya mikataba. hujaweka tuliingiza kiasi gani kwa kuuza na mikopo (Kuna zaidi ya mil 300 kwa kuuza na mikopo. Kuna zaidi ya mil 140 kwenye mishahara mikubwa. Amortization ya wachezaji haizidi mil 150

FA wakifanya audit wataangalia mapato na matumizi kwa miaka mitatu
Asume kwa miaka mitatu tumetumia 450m (ie.150mX3)
Mapato ya msimu huu pekee ni 440m (mauzo 300m na uokozi kwenye mishahara 140m) hapo tutakumbwaje na panga la FFP?
1693643805219.png
 
Huyu no. 10 ni yake hadi akina Chukwuemeka na Nkunku warudi
Japo ushindani mkubwa kwenye no. 10 utakuwa kati ya Chukwuemeka na Cole
Nkunku ataweka ushindani kwenye nafasi ya Mudryk na Jackson
Sterling ataweka zaidi ushindani kwenye nafasi ya Madueke
Kiungo Pivot ya mbili ni Enzo, Lavia, Caicedo na Lesley
Chalobah na Malo Gusto
RCB ni Silva na Disasi na James
LCB ni Badiashile na Colwill
LB ni Chilwell na Maatsenan na Cucurella
Kuna pepo linaniambia Kuna ukai havertz ndani ya palmer 😂😂😂😂.
Shindwa kabisa
 
Chelsea vs Nottingham Forest kuhusu ukubwa wa kikosi cha kwanza
Forest =33
Chelsea =26
GK za Forest = 4
Chelsea GKs = 3
Walinzi wa Forest = 13
Mabeki wa Chelsea = 10
Viungo wa Forest = 9
Viungo wa Chelsea = 6
Washambuliaji wa Forest = 7
Washambuliaji wa Chelsea = 7

1693648998212.png
 
Wadau mechi naangalia wapi online nimeenda kibanda umiza jamaa amelipa alafu DSTV hawajamfungulia channel
 
DSTV inatakiwa ulipie siku moja kabla ya mechi , system zao sijui zipoje yani ukilipia inabidi muanze kupigiana simu tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom