Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nikisema nikupe stats za Kai Havertz kwenye mechi dhidi ya Crystal Palace kama hujaangalia mpira unaweza ukasema yeye ndie MOTM.

Nachojaribu kusema ni kwamba Caicedo bado hajafikia hata nusu ya uwezo alokua nao akiwa Brighton. Na hiyo ni kutokana na utofauti wa mifumo.

Kwenye timu ya Roberto De Zerbi, mfumo pekee unakufanya uwe bora. Ni sawa na mchezaji awepo kwenye timu ya Pep. Ndo mana leo hii Welbeck na Milner wanaonekana wa maana ingawa waliondoka free kwenye timu zao.
Caicedo hajacheza hata mechi moja ya preseason mechi yake ya mwisho ni ya Epl msimu uliopita akiwa na Brighton unamjudge vipi kwa mechi mbili tu? Mpira una progress the way atakapokuwa anapata mechi nyingi zaidi ndipo atazidi kuimarika.Ukiangalia mechi iliyopita dhidi ya Westham hakucheza vizuri but kwenye hii game ameonesha improvement sana
 
Chelsea inaonekana kama tuna team 3 sijui ndo mbinu za kocha au ndo anajifunza, Chelsea ilio cheza na Liverpool ni nzuri kuzuia na kufanya counter attack 100%. Chelsea ilio check na Westham, ni superb kwenye middle field na attacking strategy ila mbovu kwenye defensive.....sasa chelsea ya jana ni mbovu uko nyuma na middle field aina full back wanao tembea ila ni nzuri kwenye kufunga au kumalizia mipira, hapo kocha anabidi afanye kazi tupate chelsea moja hususani ile ilio cheza westham, otherwise hatutaki kubahatisha matokeo tena, tena ajue mkataba wake ni miaka miwili.
 
Ukweli ni huu hao wachezaji wawili
Caocedo na Enzo watavunja rekodi nyingsana za EPL msimu huu bila kujali position ya Chelsea kwenye table
 
Chelsea inaonekana kama tuna team 3 sijui ndo mbinu za kocha au ndo anajifunza, Chelsea ilio cheza na Liverpool ni nzuri kuzuia na kufanya counter attack 100%. Chelsea ilio check na Westham, ni superb kwenye middle field na attacking strategy ila mbovu kwenye defensive.....sasa chelsea ya jana ni mbovu uko nyuma na middle field aina full back wanao tembea ila ni nzuri kwenye kufunga au kumalizia mipira, hapo kocha anabidi afanye kazi tupate chelsea moja hususani ile ilio cheza westham, otherwise hatutaki kubahatisha matokeo tena, tena ajue mkataba wake ni miaka miwili.
No, Carney Chukwuemeka pamoja na ugeni na uchanga wake ni mzuri sana kwenye no. 10. Ana uwezo wa kucheza kwenye tight defense tofauti na anapokuwa hayupo
 
Huyu nae mtamchukua kwa Shilingi ngapi?
Eti huyu mtamsajili kwa shingapi euro ngapi msimu ujao?
Screenshot_20230826-195027.jpg
 
Changudoa asenyeto katoa draw ,Brighton kakojolewshwa 3 na wahuni Westham
 
Changudoa asenyeto katoa draw ,Brighton kakojolewshwa 3 na wahuni Westham
David Moyes ananikumbusha mabasi ya MOU
Wachezaji wawili tu ndio walikuwa mbele ambao ni Bowen na Antonio, wengine kukaba
Brighton vs West Ham atkatika dakika 30
Formation 8-2
Pasi 220 ya Brighton kwa pasi 15 tu za West ham
Magoli 0 - 1
1693108371297.png
 
Chelsea are trying to keep things quiet on the offensive player, they were not happy Olise news in the media.

Chelsea are already preparing something, preparing negotiations in the next days.

Chelsea will be busy with the offensive player this week.

- Fabrizio Romano

Tumeambiwa kuna kitu kinakuja😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom