Unajifanya wewe ni kocha sana.Playing style ya kindezi Sana
Moises Caicedo vs Luton :Mpira unapigwa katikati ya mabeki wa Luton wanashindwa kuclear. Ndo mana sishangai kupigwa 4-1 na Brighton. Hii timu itarudi ilikotoka.
Hongereni Chelsea japo kwa performance hii sio ya kujisifia sana.
Bado mna maeneo mengi ya ku-improve kiuchezaji. Tunasubiri kuwaona mkicheza na timu zitakazowapa-challenge ipasavyo.
Bado sijamuona Caicedo wa Brighton, wacha tumpe muda atu-prove wrong.
Jackson ni mpambanaji mzuri, japo sina uhakika kama ataweza kuwapa goli 15+, more like Gabriel Jesus.
Leo defense yenu haijapata kashi kashi, haimaanishi muwaamini walioko nyuma. Bado mna matobo ya kuziba.
Leo mpaka Conor Gallager anang'aa!?😂
Namalizia kwa kuwakumbusha, nyie bado ni chakula ya Man City na Arsenal. Ukibisha kashtaki!😂
kocha mbona ampi nafas noni[emoji29]Moises Caicedo vs Luton :
58/60 passes completed
100% tackle success rate
100% long ball success rate
3 interceptions
2 blocks
6/10 total duels won
Dribbled past 0 times
Hata mimi nashangaa halafu hili swala la Chilwell kucheza kama winga linatufanya tunakuwa butu kwenye mashambilizikocha mbona ampi nafas noni[emoji29]
Sikuona haja ya kucheza na hii formation na Luton sijui ni uoga au kutoamini wachezaji waliopo ukweli inakatisha tamaaFormation 3-4-2-1
Sub
Wachezaji hapo kwenye sub wa first team ni wawili tu ambao ni Madueke na Cucurella
- Lucas Bergstrom - mkopo
- Eddie Beach - mkopo
- Bushir Humphreys - mkopo
- Ian Maatsen - mkopo
- Marc Cucurella
- Lesley Ugochukwu - mkopo
- Diego Moreira - mkopo
- Mason Burstow - mkopo
- Noni Madueke
Madhara ya majeruhi - wachezaji tisa wa first team wako majeruhi halafu bado Pochettino anataka squad ndogo ya wachezaji 22. Hajitambui, itabidi alazimishwe abaki na wachezaji 30
Bahati nzuri akitolewa Lukaku aidha Washington au Lesley anaweza kubaki
View attachment 2728736
Hamna mchezaji mule. Odoi mwenye mirasta.kocha mbona ampi nafas noni[emoji29]
Nikisema nikupe stats za Kai Havertz kwenye mechi dhidi ya Crystal Palace kama hujaangalia mpira unaweza ukasema yeye ndie MOTM.Moises Caicedo vs Luton :
58/60 passes completed
100% tackle success rate
100% long ball success rate
3 interceptions
2 blocks
6/10 total duels won
Dribbled past 0 times
Timu imejaa watu wanaotumia muda mwingi saloon,Acheni hizo wakaldayo. Tushabikieni timu ya weusi wenzetu. Chelsea ikifanya vizuri niggaz tunaheshimika.
SureKuna huyu Ugochwuku, kwa sekunde kadhaa alizocheza, ni bonge la mchezaji. Hata pasi anatoa kwa akili hana papara kama Gallagah