Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,237
- 5,698
Challobah Bayern wanataka kumchukua kwa mkopo ,Chelsea wanataka auzwe mazima ,huyu auzwe mazima , Cucurella pia United wanamtaka ,huyu pia akwende zake , Kuna yule galasa Odoi na Malang Sarr tena huyu anakula pesa ndefu ya bure hawa
takataka wotee wauzwe kabla dirisha haijafungwa ,tupate mtonyo kubalance vitabu
takataka wotee wauzwe kabla dirisha haijafungwa ,tupate mtonyo kubalance vitabu