Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,905
- 9,922
Jackson bangi
Mtasema yote mwaka huu , nishasema hamna timu hapa ,upuuz mtupuSterling shoga
Azam mzuri weweChelsea na Azam hawana tofauti
Mwisho wa siku mtasema ukosefu wa CivicsHT.
Pamoja na kuongoza kwa 1-0 na kuwa na possession kubwa ya 71% bado Chelsea haichezi vizuri. Wachezaji wetu wengi bado wana individual errors na kukosa concertation uwanjani. Ukosefu wa Chemistry ni dhahiri pia




hujui kama kama ni injured budaKwani hakuna Mchezaji zaidi ya Huyu Sterling? Anaudhi sana
Yule Nkuku yuko wapi?
huoni hata aibu nduguAzam mzuri wewe
Sifahamu kakahujui kama kama ni injured buda
Acheni hizo wakaldayo. Tushabikieni timu ya weusi wenzetu. Chelsea ikifanya vizuri niggaz tunaheshimika.Chelsea na Azam hawana tofauti
Mbaguzi Pep alitaka kumpoteza sterling. Bora tu alikacha mancitywhat a goal
Sterling tena
Sasa hivi Sterling anacheza vizuri pamoaj an errors ndogo ndogo alizonazo lakini namuoan Sterling wa msimu huu kazaliwa upyaKwani hakuna Mchezaji zaidi ya Huyu Sterling? Anaudhi sana
Yule Nkuku yuko wapi?