Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Moja ya swali muhimu mnalotakiwa kujiuliza ni je, MTU kama Caicedo, tutamtumia kama alivyokuwa anatumika Brighton?

Inawezekana huko mbele akaja kuclick, lakini asicheze kwa ubora kama alivyokua anatumika Brighton.

Inshort karibu sajili zenu zote ni kamali, nyie mmeangalia mchezaji anacheza vizuri, mnabeba, kumbe huko mlipowatoa walionekana wazuri kwa sababu za mifumo ya huko
Kabisa aisee
 
Caicedo aliambiwa na De zerb, ni vizuri uwe makini na timu unayoenda, hasa kwa kuangalia style of play, yeye kaangalia hela. Caicedo is another flop after Mudryk
Huyu fala kajichanganya angekuja Liverpool tu
 
Chelsea ni katimu kadogo sana, Brighton wana utapeli mwingi sana caicedo mmetapeliwa, cucurella mmetapeliwa
 
Nani anikumbushe mara ya mwisho Chelsea kushinda mechi ya ligi
 

Attachments

  • 20230820_210821.jpg
    20230820_210821.jpg
    172.6 KB · Views: 3
Yani alivyoingia Caicedo tu, ndo kaharibu Kila kitu. Mpira WA kwanza kabutua, mpira wa pili katoa Boko (west ham wangetulia goli like), mpira wa tatu penati.

Alafu Bei yake £115M
Unawaza kama mm
 
Kwa hiyo Caicedo ni flop kisa ametoa penalt? Wabongo bhana kha! hahahaha .....
Na Enzo pia ni flop amekosa penalt.
Mtafutieni Psychologist haraka sana dogo wa watu muokoe kipaji chake, dogo anaenda kuwa flop huyo.

Yani alivyokuwa benchi, kidogo Chelsea walikuwa threat, ila alivyoingia yeye sasa😄😄 kabutua, katoa Boko, penati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom