Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,163
- 17,067
Matumizi makubwa, matokeo yale yale. Pocc atajuta kuichukua hii timu utopolo.
Matumizi makubwa, matokeo yale yale. Pocc atajuta kuichukua hii timu utopolo.














Hawataki tuwazomee matakataka akina OllaChuga OcKwanza hawa wafanayakazi wa maxmelo wamerogwa au maana nyuzi zetu kuzifanya hiv ndio nni maana huku kuna shida sana
The last time Chelsea were in the top half of the table, Elizabeth II was the queen of England.



Kocha pia sijui kambadilishia nafasi. Huyo kwa uchezaji wake anatakiwa acheze kulia tu na kazi yake kutengeneza nafasi1st half tulicheza vizuri sema baada ya chukwumeka kupata injury tatizo likaanzia hapo. Maana mudriky huyu jamaa bingwa wa mtindo ya nywele mpira wake mchache labda bado hana confidence, sterling kacheza vizuri, lakini pale kwenye namba 9 bado Jackson jamaa anazulula sana japo anacheza vyema sema ange tulia kwenye box ange score vizuri sana huyu jamaa wa kutwa senesi nae mapepe
Jackson katengwa, anatakiwa awe anatoka huko kwenye jela. Kwa timu inayopaki mabasi kama Westham ni bora kocha asiwe anamchezesha striker. Saa nyingine ni bora false no. 9 mwenye uwezo wa kucheza kama winga au attacking midfielder1st half tulicheza vizuri sema baada ya chukwumeka kupata injury tatizo likaanzia hapo. Maana mudriky huyu jamaa bingwa wa mtindo ya nywele mpira wake mchache labda bado hana confidence, sterling kacheza vizuri, lakini pale kwenye namba 9 bado Jackson jamaa anazulula sana japo anacheza vyema sema ange tulia kwenye box ange score vizuri sana huyu jamaa wa kutwa senesi nae mapepe
Kafanya makosa saba na ya mwisho ikawa penalti na goli, kuanguka sio mwisho wa safari, makosa aliyofanya haimuondolei kuwa sio DM mzuriYani alivyoingia Caicedo tu, ndo kaharibu Kila kitu. Mpira WA kwanza kabutua, mpira wa pili katoa Boko (west ham wangetulia goli like), mpira wa tatu penati.
Alafu Bei yake £115M 🤣🤣
Tuseme ukweli huyu Mudryk tumepigwa sisi mashabiki tuna imani naye lakini anachokionesha tofauti kabisaKocha pia sijui kambadilishia nafasi. Huyo kwa uchezaji wake anatakiwa acheze kulia tu na kazi yake kutengeneza nafasi
Caicedo hakuwa na preseason nzuri kule BrightonKafanya makosa saba na ya mwisho ikawa penalti na goli, kuanguka sio mwisho wa safari, makosa aliyofanya haimuondolei kuwa sio DM mzuri
Bakiza basi akiba, kesho akiwageuzia utajificha wapi?Tulisema sisi
Ni liflop hilo
Jitu lenye kiburi hakuna mpira hapo
Haya sasa 🤣🤣🤣
No nakataa, hatujapigwa, tumepiga. mechi ziko nyingiTuseme ukweli huyu Mudryk tumepigwa sisi mashabiki tuna imani naye lakini anachokionesha tofauti kabisa
Jackson mzuri sana tatizo hana msaidizi pale mbele hata pochettino alisema hivyo kuumia kwa Nkunku ndo shida ilipoanziaJackson katengwa, anatakiwa awe anatoka huko kwenye jela. Kwa timu inayopaki mabasi kama Westham ni bora kocha asiwe anamchezesha striker. Saa nyingine ni bora false no. 9 mwenye uwezo wa kucheza kama winga au attacking midfielder