Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hajakosa namba. Hataki kupambania hiyo namba na wengine wazuri kama yeye au pengine Bora zaidi yake. Anataka mahali ambapo yeye atakuwa ndiye Bora na no.1 katika uchaguzi wa kocha. Huenda akija kwenu hatakuwa na ushindani mkubwa sana na atapata nafasi zaidi kuonyesha uwezo wake na kufika levels za juu kimpira
Nketiah anamzidi??
 
Uongozi ukikosea sana kumtoa Datro Fofana kwenda mkopo ikiwa hawajafanya analysis vizuri...Sasa nani msaidizi wa Jackson akiumia au akipata adhabu?
 
Uongozi ukikosea sana kumtoa Datro Fofana kwenda mkopo ikiwa hawajafanya analysis vizuri...Sasa nani msaidizi wa Jackson akiumia au akipata adhabu?
Broja lakini tuna tatizo kuu ni kwamba Jackson ataenda kushiriki michuano ya Afcon pengo litaanzia hapa kivyovyote Chelsea watakuwa wameliona hili so lazima watanunua striker
 
Kwanini wazee wa Miami wasitupatie Messi kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu then tuwapatie Lukaku bure, ili Messi afanye kuchukua nafasi ya Nkunku amchezeshe Jackson huku nyuma yao akiwezo Enzo?
Messi bado anayo uwezo wa kucheza no. 10 vizuri sana.
 
Broja lakini tuna tatizo kuu ni kwamba Jackson ataenda kushiriki michuano ya Afcon pengo litaanzia hapa kivyovyote Chelsea watakuwa wameliona hili so lazima watanunua striker
Nkunku atakuwa amepona, Broja yupo, Burstow aliyefunga bao dhidi ya Dortmund naye yupo bado hajatolewa mkopo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom