Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,149
- 15,960
Kweli kila Mtu ana ukichaa wake, timu zisizokujua zinakupumbaza akili hadi kuwaita Binadamu wenzio mmbwa ilihali hata wachezaji, kocha na bodi ya hiyo timu unayoishabikia haikujui? [emoji1787]Mbwa niny [emoji23][emoji23][emoji23]mlijazana kwenye page ya Utd kumbe na niny hamna team kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app