Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Sasa ni rasmi
Caicedo to Chelsea Here we go!
HABARI ZA HIVI PUNDE: Moisés Caicedo amesajiliwa Chelsea rasmi hivi punde! Makubaliano yamefikiwa na kufungwa sasa hivi - itakuwa na ada ya uhamisho ya rekodi ya Uingereza #CFC£115m pamoja na addons. Pia kutakuwa na kifungu cha mauzo kilichojumuishwa kwa Brighton. Vipimo vya matibabu vimeandaliwa tayari. Caicedo atatia saini mkataba wa miaka nane hadi Juni 2031 na chaguo la nyongeza ya hadi 2032.
@FabrizioRomano
BREAKING: Moisés Caicedo to Chelsea, here we go! Agreement reached and sealed right now — it’s gonna British record transfer fee #CFC£115m fee plus sell-on clause included for Brighton. Medical tests, booked. Caicedo will sign until June 2031 with option until 2032.
View attachment 2716682
Imeisha hiyo. Ikiwezekana aanze mazoezi leo leo apewe jukumu chap. Awasiliane na Enzo ampe koba wake wa no 6 chap






Arsenal this time hamtufungi nje ndani aisee ule uteja wa msimu ulioisha hakuna tena



