lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,387
- 25,493
Lavia tayari yuko London na nasikia ameandaa party na marafiki zake ya kuhamia Chelsea
Mkuuu yaani uko peke yako shabiki sa liverkukuHumu Kuna ngonjera Sanaa mnajitekenya halafu mnachekawenyewe
Breaking: Liverpool have agreed a £60M deal to sign Romeo Lavia from Southampton. They must still convince him to choose them over #Chelsea.
[via Jacob Steinberg]
MORE: @Chelsea_fc_worldwide
Wanetu wameyaanza tena.
Watayaweza kweli???
Let's keep waiting
Mbona caisedo hatambulishwi tu jamani
Nitafurahi akitambuliswa maaana liver wamepanic wanaweza wakaja na 200 hahaMkuu kila kitu tayari una wasiwasi wa nini tena? Caisedo ni mchezaji wa Chelsea
Humu Kuna ngonjera Sanaa mnajitekenya halafu mnacheka🤣🤣🤣 wenyewe
Nitafurahi akitambuliswa maaana liver wamepanic wanaweza wakaja na 200 haha
Watakufa watoe na wao hizo pesaNi wivu tu unawasumbua, na baada ya mrussia kuondoka walidhani tutakuwa dhaifu kwenye usajili. Badala yake ndio tumekuwa hatari zaidi huko sokoni, toka tajiri miluzi aingie katika madirisha yote ya usajili ni ana sajili tu.
Haha nacheka sanaKatika kitu ambacho wapinzani wetu wanatakiwa wasali sana mchana na usiku ni THE BLUES isitulie uwanjani.
Kwa sababu ikitulia na kuanza kushinda makombe hakika chini ya umiliki wa bank ya Marekani tutaendelea kuchukua makombe mfulilizo.
eti bank ya marekani maana pesa zakuchota tu
wakizingua hata huyo LAVIA ANAPIGWA 80Kweli kabisa Chelkenge mmekua hatari sana sokoni ila uwanjani ni warembo tu, sisi tunaendelea tu kupiga dua ili tawi la Mloganzila hapo stamfodi briji liendelee kupokea wateja wapya kenge nyie.Ni wivu tu unawasumbua, na baada ya mrussia kuondoka walidhani tutakuwa dhaifu kwenye usajili. Badala yake ndio tumekuwa hatari zaidi huko sokoni, toka tajiri miluzi aingie katika madirisha yote ya usajili ni ana sajili tu.
Nyie ndio mmeanza kuingilia Deal letu alafu mnasema nn?Liva anachofanya ni kuongeza bei ya mchezaji kutukomoa, inamaana Lavia now ukitaka kumchukua si chini ya 60.
Eti wanaenda kutushitaki aiseeeNi wivu tu unawasumbua, na baada ya mrussia kuondoka walidhani tutakuwa dhaifu kwenye usajili. Badala yake ndio tumekuwa hatari zaidi huko sokoni, toka tajiri miluzi aingie katika madirisha yote ya usajili ni ana sajili tu.
Inaongezwa 60,000,001 kama Arsenal alivyowahi kuongeza kwa Luis Suarez walipoambiwa na Liverpol waongeze juu ya 40m. Kama tayari mmeshakubaliana na mchezaji hakuna kuongeza dau kubwa wewe unacheza tu na paund 1 au 2Liva anachofanya ni kuongeza bei ya mchezaji kutukomoa, inamaana Lavia now ukitaka kumchukua si chini ya 60.
Arsenal ni wavuta bangiInaongezwa 60,000,001 kama Arsenal alivyowahi kuongeza kwa Luis Suarez walipoambiwa na Liverpol waongeze juu ya 40m. Kama tayari mmeshakubaliana na mchezaji hakuna kuongeza dau kubwa wewe unacheza tu na paund 1 au 2
Kama timu yako imesajili vizuri hamna haja ya kuwa na hofu kwa hii Chelsea unayoiona mbovu. Subiri muda wako wa dozi ufike upate vidonge vyako ukapumzikeKweli kabisa Chelkenge mmekua hatari sana sokoni ila uwanjani ni warembo tu, sisi tunaendelea tu kupiga dua ili tawi la Mloganzila hao stamfodi briji liendelee kupokea wateja wapya kenge nyie. View attachment 2717089
Chelsea nyie ni wenetu sana tu, ndio maana hua hatuchoki kuwaombea dua.Kama timu yako imesajili vizuri hamna haja ya kuwa na hofu kwa hii Chelsea unayoiona mbovu. Subiri muda wako wa dozi ufike upate vidonge vyako ukapumzike