Sorry mkuu lakini kila kitu kipya, historia huwa ina circumstancesStill siwezi kuipima Chelsea kwenye mechi dhidi ya liver mkuu, Kwani Kati ya msimu huu na uliopita upi mna team nzuri? Nadhani jibu ni huu
Je mlikuwa mnaweza vipi kutoa suluhu dhidi ya Liverpool ambayo iko vizuri almost mechi 5? So mechi ya Chelsea na liver always waga iko hivi hivi, ni sawa tu na City Vs totenham
James mzima, Pochettino kasema ni uchovu tuJames Kama kawaida misuli kuwaka moto.
Utasikia mechi ijayo atakosa.
Liverpool baada ya shot on target ya Luiz kwenye dakika ya 18 iliyozaa goli hawakuweza tena kupiga mpira golini Vijana walikaba kwel;i
Klopp ameanza kuishiwa mbinuKama tumecheza ivi kwa siku ya leo basi naamini chelsea itarudi katika ubora wakeView attachment 2716622
Tottenham wameanzisha mazungumzo ya kumsajili Lukaku
Lakaka.. nafasi ya KaneTottenham wameanzisha mazungumzo ya kumsajili Lukaku
Klopp ajiangalie Sana ,hii ni aibu kwa timu wanayosema msimu huu ni title ContenderKama tumecheza ivi kwa siku ya leo basi naamini chelsea itarudi katika ubora wakeView attachment 2716622
Nyie wapumbavu refa kawaokoa ilikua iwe 0-2 lkn Salah atarudi tena
Aisee..How do you feel my brother. Bado unahesabu una timu?
View attachment 2716644