Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Chelsea kumsajili Moises Caicedo kwa kitita cha £115m (inayoaminika kuwa £100m+15m) sasa inakamilishwa na kipengele cha kumuuza juu yake. Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa dili liko karibu sana. Chelsea wanataka kufanya vipimo vya afya ndani ya saa 48 kama wanaweza.
Chelsea to sign Moises Caicedo for £115m package (believed to be £100+15m) is now being finalised with a sell-on clause on top. Sources indicate a deal is imminent. Chelsea want to do the medical within 48 hours if they can.
Hii ni habari mpyaa



#CFC