hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,460
- 27,062
Liva anachofanya ni kuongeza bei ya mchezaji kutukomoa, inamaana Lavia now ukitaka kumchukua si chini ya 60.



Liva anachofanya ni kuongeza bei ya mchezaji kutukomoa, inamaana Lavia now ukitaka kumchukua si chini ya 60.




Tukimaliza wachezaji wanaotakiwa na Pochetino tutafikisha Pauni 1BN katika madirisha mitatu ya Boehly tangu achukue usukaniNi wivu tu unawasumbua, na baada ya mrussia kuondoka walidhani tutakuwa dhaifu kwenye usajili. Badala yake ndio tumekuwa hatari zaidi huko sokoni, toka tajiri miluzi aingie katika madirisha yote ya usajili ni ana sajili tu.
Una hiii popoma subiri utasoma nambaChelsea nyie ni wenetu sana tu, ndio maana hua hatuchoki kuwaombea dua.
Mtu ambae alikua anatusumbua ni Drogba tu, ila hawa kina Wacko Jacko na Kuku Lela hata wakicheza uchi hawatutishi.
Chelsea hivi sasa tunaichukulia kama kikundi cha waimba Reggae. View attachment 2717124
Haha ha jamaaa wa Bank ya kimarekan unanifurahisha snaKabisa tunampiga Lavia 80 usoni na matusi juu.
Aende hata leo sterling nae wasimsahau vip hawataki nyongezaBREAKING NEWS: Cucurella to Newcastle:
Chelsea wameanzisha mazungumzo ya serious kabisa na Newcastle kuhusu kumchukua Cucurella kwa mkopo na kipengele cha kumnunua kabisa baada ya nmkopo
View attachment 2717155
Lavia anapenda kuja Chelsea, Kazi ipoLiverpool agree £60m deal with Southampton on Lavia & yet to convince the player
2 hours ago / WangSky
According to the Guardian, The Liverpool have agreed £60m deal to sign Lavia with Southampton but yet to convince the player
Liverpool have agreed a £60m deal to sign Romeo Lavia from Southampton. They must still convince the midfielder to choose them over Chelsea.
Angalia lile goli alilokosa Jackson, buildup ilikuwa nzuri sana na James ni bonge la mchezaji, tuwe tunamuombea asipatwe na majeruhi
Pia Chilwell kwenye offesive is very better tena sana. Leo angekuwa refa mwingine angetupa penalty na lile goli la kuotea alicheza vizuri sana. Ni hazina kuwa na Chilwell na James wasio na majeruhi kwenye
Chelsea inaenda kuwa timu ya blacks , full niggas in the house , na wanijetia kama wote Madueke,Ogochukwu , Chukwuemeka , Olise ,hahaaaa 😄😄😄😄Sports Zone are reporting that Crystal Palace’s Michael Olise (21) has agreed personal terms over a return to Chelsea, and prefers a move to Stamford Bridge over a move to Manchester City.
Timu ya weusi caicedoChelsea inaenda kuwa timu ya blacks , full niggas in the house , na wanijeria kama wote Madueke,Ogochukwu , Chukwuemeka , Olise ,hahaaaa 😄😄😄😄
Akitambulishwa sijui itsemaje jamaa?Kwani alikua hajasajiliwa kumbe mlikua mnadanganya hahaha mtambulisheni basi![]()
Baada ya hapo tuache kusajili sasa