Wamejifanuya wenyewe bhana
Wamejifanuya wenyewe bhana
Sio vibaya kuja huku maana mpira sio uadui mkuuUko bize kwenye uzi wetu kuliko kwenye uzi wako wa arsenal
😂😂😂😂😂nafurahia tu mlichowafanya Liverpool
Nilicofanya ni kufollow waandishi maarufu wanaotoa taarifa za football bila kubagua timu na hivyo kila taarifa ikitoka unakuta iko kwenye home page ya account yako tayariTwitter unatumia jina gan
Tambulisha mchezaji wewe usipomtambulisha anachezaje sasa hivi unajua mpira kweli wewe eti hata tusipomtambulisha ni mchezaji wetu 🤣🤣🤣🤣Mara ya kwanza nilipoanza kutoa taarifa za Caicedo kuikataa Liverpool na kwamba Chelsea wanakuja kujitetea nilitukanwa yeye na mwenzake Pension ambaye baadaye alikubali baada ya kuona facts
Huyu yeye sijui hasomi habari za duniani, akaendelea hadi sasa hakubali, utajua tu kasalimu amri akihamisha mada. Ubishi wake sasa ni kumtambulisha. Hata tusipomtambulisha tayari ni mchezaji wetu
Tambulisheni mchezaji nyie mbona kelele nyingiiiiiii hahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣Nilicofanya ni kufollow waandishi maarufu wanaotoa taarifa za football bila kubagua timu na hivyo kila taarifa ikitoka unakuta iko kwenye home page ya account yako tayari
Tambulisheni mchezaji kelele nyingiiiiiii sana tunajua anaondoka kuja kwenu haya mtambulisheni basi🤣🤣🤣🤣🤣Moises Caicedo Karibu Chelsea
Moises Caicedo amesifiwa kwa jinsi alivyoshikilia msimamo wake kuipiga chini Liverpool na kuheshimu ‘makubaliano’ ya kujiunga na Chelsea.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anaondoka Brighton baada ya kujiunga Februari 2021. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ecuador alicheza mechi nane katika kampeni za 2021-22. Baada ya kukubali mkataba wa mkopo wa msimu mzima kwa Beerschot ya ligi kuu ya Ubelgiji, aliitwa tena Amex mnamo Januari 2022.
Na Mmarekani huyo wa Kusini alionyesha kile anachoweza kufanya muhula uliopita, na kuwa mchezaji wa timu ya kwanza kwa mechi 37 za Premier League.
Lakini mkuu wewe ni mmoja ya watu ambao walikuwa happy sana siku mbili tatu zilizopita wakati liverpool wanataka kutufanyizia.huku nakujaga Mara Moja,huwez kuta nikija humu natukana au kebehi mtu
Mm nafurahia tu mlichowafanya Liverpool
Hii sio ile ya msimu uliopita, niwakumbushe tuKunyweni maji mengi,, pyenga likilia Kuruta wa chelsea msianze kulia lia.
View attachment 2716086
Kuna mashabiki wa Liverpool walianza matusi , na kusema wao tayari ni title ContenderLakini mkuu wewe ni mmoja ya watu ambao walikuwa happy sana siku mbili tatu zilizopita wakati liverpool wanataka kutufanyizia.
Umepiga Uturn kali sana.

Kwani kumbe tunacheza leo? Ni UEFA au Epielo?😁Uyu Livakuku tunamnywa ngapi leo?
Duuuhh.. maswali mengine ni kama umetokea kuzimu na kufika Leo DunianiKwani kumbe tunacheza leo? Ni UEFA au Epielo?![]()
We kama ni mgeni hapa jukwaani huwezi kuelewa kwa nini nimemuuliza hivyo!Duuuhh.. maswali mengine ni kama umetokea kuzimu na kufika Leo Duniani
Huyo paparazi akiacha tu ujinga wake wa kukaa na mpira hadi anyang'anywe ni winga mzuriTwende na 4-2-3-1 Vs Liverkuku
------------------ Jackson --------------
Mudyk - Chukuemeka - Paparazi
------ Mpira Vurugu - Enzo ----------
Chilwell - Colwill - Silva - James
Mpira vurugu, Chukuemeka, Paparazi hawastahili kuanza 1st eleven, ila ndio hivyo hatuna option.
Tukakamilishe sajili za kimkakati tuwe na 1st eleven bora ya kupambania top 4.
Mechi ya leo 50/50.
Kwa ubora namuona Tyler Adams kama anamzidi Lavia ila Lavia anamzidi Tyler kwenye majeruhiHuyu tyler Adams ni injury prone bora tumemkimbia aiseee