Aeko
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 599
- 1,362
10 hag hana pesa ya compete hiyo bidding war ya hao watuHao Midfielders wako wapi ,ukitoa Caicedo, Lavia unawapata wavunja kuni tu
Ndio Maana top teams zote zimekuwa zikiweka kambi kwa Lavia na Caicedo ,
Thus why namshangaa ten hag anahangaika na Amrabat,
Afu hayuko vibaya hivoo caisedo ndo nilitaman 10 hag amu approach but its impossible 110m+ ambrat atatosha kama cover up ya casemiro au kama double pivot
