Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuja lazima aje
Umesahau isue ya Raphinha na Kopunde. Baada ya wachezaji kusema wanaipenda Barcelona, ndi process ikawa slow wee klwa sababu Barcelona ilikuwa wakusanye kusanye vichenji ili waweze kulipa

Na sisi hivyo hivyo
Kimsingi Brington wamekubali bidi ya paini 100m + 15m ya addons
Changamoto ni makubaliano ya muundo wa malipo
Chelsea wanataka walipe kwa awamu nyingi, Brighton wamekataa, sasa Chelsea wataendelea kubargain huku wakipoteza muda ili tuuze wachezaji
Yupo Galagher, Odoi, Lukaku, Ziyech, hata ikibidi baadhi ya academy. Pia kutafuta utaratibu mwingine
Bila caisedo kiungo chetu hakika kitakuwa hovyo sana maaana huyo caraga hakuna kitu kabisa
 
Liva kati ni uchochoro yani mac alister ndo 6 false dm false 8
Hapa ndipo tunapo ona why liva wamekuwa wagumu kujitoa kwenye dili la lavia na caisedo
 
Backline ipo scattered sijui shidani nini.

Leo liver wanaexpose madhaifu ya back line yetu.
Chemistry bado, mechi kama hizi ndizo zitawaweka mwangani wajue namna ya kushirikiana na kocha pia ajue ni nani na nani wafanye muunganiko
 
1st half tumecheza vizuri, tumekosa qualities kwa Gallagher pale katikati.

Sterling amecheza vizuri sana, makosa madogo madogo tuu kama kawaida yake.

Uongo sio kazi, THE BLUES ya msimu huu tunashambulia sana. Magoli yapo
Angalia lile goli alilokosa Jackson, buildup ilikuwa nzuri sana na James ni bonge la mchezaji, tuwe tunamuombea asipatwe na majeruhi
Pia Chilwell kwenye offesive is very better tena sana. Leo angekuwa refa mwingine angetupa penalty na lile goli la kuotea alicheza vizuri sana. Ni hazina kuwa na Chilwell na James wasio na majeruhi kwenye timu
 
Liverpool threats ipo on attacking tu ila midfield area ni mtihani they need 2-3 midfielders plust 1 exta cb
Hapo tutawaita potential title contender next to man city Newcastle arsenal man utd Chelsea
Jamaa Wana kiungo cheupe Sana ,hata DM ndio maana wanakomaa kwa Caicedo, Chelsea kabadilika Sana , wakiongeza Caicedo Lavia wataokota point Sana kwa hiz mid table teams
 
Jamaa Wana kiungo cheupe Sana ,hata DM ndio maana wanakomaa kwa Caicedo, Chelsea kabadilika Sana , wakiongeza Caicedo Lavia wataokota point Sana kwa hiz mid table teams
Possession 67 kwa 33 inawa expose sana hapo kati eneo la midfield hawakai na mali
maboss wao FSG wafanye chap afu mbona midfielders wapo kibao sokoni hela yako tu
 
Jamaa Wana kiungo cheupe Sana ,hata DM ndio maana wanakomaa kwa Caicedo, Chelsea kabadilika Sana , wakiongeza Caicedo Lavia wataokota point Sana kwa hiz mid table teams
Ushabiki pembeni hawa Chelsea wanatisha nimetoka kumwambia mtu hawa jamaa wakimaliza hizo dili lavia caisedo olise plus nkuku akirudi from injury nawa count top 4 must

Shida yao sio midfielders au attack Chelsea defense kidogo ipo reasoning na wanaweza kuwa exposed na lethal elite teams
Nazungumzia timu zenye elite wings hatari kama brighton Newcastle arsenal man utd
 
True mkuu ,Mimi nawaangalia hapa 76% kwa 24%

Halafu wachezaji wao wadogo ,wakiongeza hizo deals plus uzuri Wana mwalimu anayejua kufundisha wachezaji wadogo na talent

Huyu Liverpool ni attacking tu
 
Possession 67 kwa 33 inawa expose sana hapo kati eneo la midfield hawakai na mali
maboss wao FSG wafanye chap afu mbona midfielders wapo kibao sokoni hela yako tu
Hao Midfielders wako wapi ,ukitoa Caicedo, Lavia unawapata wavunja kuni tu

Ndio Maana top teams zote zimekuwa zikiweka kambi kwa Lavia na Caicedo ,

Thus why namshangaa ten hag anahangaika na Amrabat,
 
Kama tumekubali kuanza upya sijui kwa nini bado sterling yupo always poor decision making from senior player
Leo kajitahidi kucheza vizuri ila sio kama angekuwepo Mudryk au Maatsen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom