Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lakini mkuu wewe ni mmoja ya watu ambao walikuwa happy sana siku mbili tatu zilizopita wakati liverpool wanataka kutufanyizia.

Umepiga Uturn kali sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka we acha tu. Wacha tushabikie mpira tu. Mashabiki wote wa Arsenal walifurahi sana Ile kauli.
 
Kwa ubora namuona Tyler Adams kama anamzidi Lavia ila Lavia anamzidi Tyler kwenye majeruhi
Tukimpata Lavia tumeweka stability pale katikati, wote watakua sio injury prone
Lavia yupo mbali kwa viungo wengi unaowajua ,haijawa bahati mbaya Arsenal, manjesta, Liverpool,Chelsea ,baryen , kumtaka ,

Weakness ya Lavia ni timu ikiwa haina mpira hajui kukava nafasi

Unapozungumzia Press resistant Basi Lavia ni mmoja wapo ,Kuna takwimu moja wapo inasema kila press 10 alizofanyiwa ni Mara moja tu ndio alipoteza mpira , Mara ya kwanza nilimuona vs Liverpool pale Anfield alivyocheza vzr ,nikawa mechi za soton naenda kumuangalia , Kuna mech katafute vs Arsenal alimpoteza Sana Partey , na hasa alipokuwa akifanyiwa press .Kwangu Mimi kiungo ambaye huwez kumpress ni muhimu sababu mnakaa na mpira .

Lavia kwa umri wa 19yrs ndio Maana haijawa surprise kugombewa na top teams kubwa karibu zote ,Lavia ni Copy ya Partey ,anahitaji maboresho kwa umri wake ule ana room yakujifunza , kwa Pochetinho yupo mikono salama.

Kama mnampata Lavia , Caicedo na Enzo ,Sasa mtakuwa na kiungo kizuri Cha miaka 10+
 
British record fee sio mchezo, mambo bado?
Ule mpango wetu wa kumtambulisha Caicedo na Lavia mbele ya halaiki ya mashabiki umeahirishwa hadi tutakapowatangazia tena!
Kwani deal la Laiva limeisha?
 
1691937296166.png

1691937423790.png
 
Zile story za Lavia kwa 70% zilikuwa ni propaganda za uongo ili kuwchanganya Liverpool kwa maoni yangu. Zilivujishwa hadi Medical test Jana Jumamosi kwamba yuko London wakati sio kweli
Liverpool nasikia wako tayari kutoa level sawa na Chelsea
Chelsea tulitoa pauni 52m+5m addons
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom