lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,384
- 25,493
Style ya mchezaji kama Wesley Fofana hafai kuwamnchezaji wa Chelsea
Mwaka wa pili anakula mshahara wa bure kwa sababu ya majeruhi ya kijingajinga
Medical team ifumuliwa na ipewe jukuma la kung'amua wachezaji wa naman yake ndipo Chelsea itakaa vizuri
Ona sasa leo mabeki wote waliopo wanacheza, akijeruhiwa mmoja sijui itakuwaje, Labda Poche atarudi kwenye backline ya 4