hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,467
- 27,064
Mimi najua mpira kuliko wewe sijisifii , Chelsea hata kama watafungwa , wameonesha mwanga wanaelekea wapiAcha unafiki wewe.
Chelsea wanacheza makida humo.
Nyie timu ikifungwa Basi kocha mbaya ,hamuwez kuona progress
Anagalia wanavyoanza mpira nyuma kwenda mbele