Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mashabiki wa Liverpool wanaiwaza Chelsea kuliko timu yao
Screenshot_20230813-074055.jpg
 
Basi mtambulisheni deal limeisha naona unatuaminisha sana wakati wote humu tunnajua matajiri ambao munawazidi mancity pesa mumemchukua caicedo
Kutambulishwa ni hatua ya mwisho na kabla haijafikiwa lazima vitu vingine vifanyike kwanza. Kung'ang'ana mtambulisheni mtambulisheni kunakufanya watu tukuone wa ajabu. Tunajua wewe ni Liverpool fan so inaonesha namna gani unaumia na kitu mmefanywa. Ila atatambulishwa na sijui utsema nn muda huo.
 
Moises Caicedo Karibu Chelsea
Moises Caicedo amesifiwa kwa jinsi alivyoshikilia msimamo wake kuipiga chini Liverpool na kuheshimu ‘makubaliano’ ya kujiunga na Chelsea.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anaondoka Brighton baada ya kujiunga Februari 2021. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ecuador alicheza mechi nane katika kampeni za 2021-22. Baada ya kukubali mkataba wa mkopo wa msimu mzima kwa Beerschot ya ligi kuu ya Ubelgiji, aliitwa tena Amex mnamo Januari 2022.

Na Mmarekani huyo wa Kusini alionyesha kile anachoweza kufanya muhula uliopita, na kuwa mchezaji wa timu ya kwanza kwa mechi 37 za Premier League.
 
Kutambulishwa ni hatua ya mwisho na kabla haijafikiwa lazima vitu vingine vifanyike kwanza. Kung'ang'ana mtambulisheni mtambulisheni kunakufanya watu tukuone wa ajabu. Tunajua wewe ni Liverpool fan so inaonesha namna gani unaumia na kitu mmefanywa. Ila atatambulishwa na sijui utsema nn muda huo.
Mara ya kwanza nilipoanza kutoa taarifa za Caicedo kuikataa Liverpool na kwamba Chelsea wanakuja kujitetea nilitukanwa yeye na mwenzake Pension ambaye baadaye alikubali baada ya kuona facts

Huyu yeye sijui hasomi habari za duniani, akaendelea hadi sasa hakubali, utajua tu kasalimu amri akihamisha mada. Ubishi wake sasa ni kumtambulisha. Hata tusipomtambulisha tayari ni mchezaji wetu
 
Me huwa sipend kubishana na watu Kama hawa. Hawa jamaa hawaamini macho yao maana wamekataliwa na player halafu wanaanza kumdiss Fabrizio kisa kafichua kuwa wamekataliwa. Yaan unakuja na dau la kuvunja rekod na unakataliwa dah inauma
 
MAshabiki wa Ars88 wanamchukia Mudryk sababu aliwatosa, sasa ni zamu ya mashabiki wa liva kumchukia Caceido.
Japo kwa Mudryk haiumi sana kama ya Caicedo kwa Liverpool
Mudryk hana makosa, Arsenal walikataa kumpigania
Arsenal kwa Mudryk ada yao ilipokataliwa, walisema hatutoi mahela mengi hivyo, pia hawakurudi kwa mchezaji, kwa vile Mudryk yeye alitaka kuja kwenye ligi kubwa kuimarisha taaluma yake, Chelsea walipokuja na dau zuri na ahadi ya mshahara mzuri alikubali kirahisi
So Arsenal wanajilaumu wao wenyewe kwa kumkimbia Mudryk. Wasioelewa scenriao ndio tu watamlaumu Mudryk

Caicedo alipiganiwa sana na Chelsea na ndio iliyompa nguvu na jeuri ya kuikataa Liverpool
Chelsea walimfuata asubuhi Caicedo wakamwambia wewe si unapenda kuja kwetu?
Caicedo akasema ndio
Chelsea wakamuambia basi poa, tulia, wakikufuata waambie mimi nataka kwenda darajani tu na sisi tutakupigania hadi tukuchukue, pia tutakulipa mshahara wa pauni laki 2 na nusu badala ya ile ya mwanzo ya pauni laki mbili.

Tutakupigania hata kama ni kuvunja rekodi ya ada wanayotoa Liverpool
 
Hii imeenda bro
 
Now Liverpool wamebaki kwenye ffp
 
Moja ya watu wa jf wenye info huwa ni wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom