Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna tatizo, hado sasa Chelsea hawaja weka mezani dau la kumnunua Caicedo
 
Kwa wale wanaotaka kupata taarifa za moto moto kwenye mtandao wa Twitter nawapa ushauri wa bure kama mimi nilivyofanya
  1. Kwanza ujue kimombo vizuri vinginevyo itakubidi kila hoja ukitaka kuchangia itakubidi utumie translator kuja kiswahili na baadaye translator kwenda kimombo
  2. Pili follow wale waandishi wote maarufu na ambao wana followers wengi kuanzia makumi elfu au kama unamjua mwandishi husika. mfano Fabrizio Romano, David O
  3. Uwe unashiriki kutoa hoja mbalimbali zikiwemo za kutokuwa bias na zile za kishabiki ili kupata attention ya wafuasi wengi
Mfano wa Journalist wa kuwafuata
  1. Fabrizio Romano (@FabrizioRomano) - mshabiki wa Watford
  2. David Ornstein, The Athletic - Mshabiki wa Arsenal
  3. Matt Law, Telegraph - Shabiki mkubwa wa Chelsea
Matt law shabiki wa Aston Villa, ila ni tier wa 1 kwa habar za chelsea
 
Kuna tatizo, hado sasa Chelsea hawaja weka mezani dau la kumnunua Caicedo
Acha uoga , mchezaji kashawakataa Liverpool

BREAKING: Chelsea are pushing to complete a British transfer record of £115m for Brighton midfielder Moisés Caicedo.

Sky Sports News understands that a deal could be agreed before Chelsea kick-off their Premier League campaign against Liverpool tomorrow.
 
Kuna tatizo kubwa au ni tactical
Kambi ya Liverpool wanadai wameshafanya upelelezi kuwa tukilipa tutavunja FFP rules kitu ambayo sio kweli sana
Approcah ya akina Boehly ni kwenye payment structure yenye instllment nyingi ili kupunguza uwezekano wa kuvunja FFP rules na hii sio kwa Caisedo tu, hata kwa Enzo, Mudryk na wengine matajiri wa Chelsea walifanya hivyo nandio maana wana nguvu ya kuwanunua wachezaji wengi kwa msimu mmoja
 
Hahahaha nyie lipeni bhana 🤣🤣🤣🤣🤣 mbona mnachelewa wakati pesa mnazo sio kweli sana nini lipeni mumtambulishe huyo caicedo
 
Ina maana Chelsea mpk muda huu bado hawajamchukua mchezaji wao?

wanakwama wapi?tuwasaidie?
 
Nyie ng'ombe embu lipeni bhana mumchukue caicedo bhana mbona kelele tu vitendo hatuoni au mmeghairi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Asurance yetu Caicedo hadi sasa anataka kuja kucheza kwetu
Kuchelewa inaweza kuwa ni
  1. Delay tactics za aidha kuwachosha Liverpool ili waondoe Bid yao kubwa au
  2. Delay tactics ili wakusanye kwanza mauzo ya Odoi, Kepa, Lukaku, Gallagher, Ziyech
  3. Mambo yanaenda underground
Kumbuka hata ile vita ya Chelsea na Barcelona kuwahusu Kounde na Raphinha, Barcelona baada ya kumshawishi mchezaji awe upande wao walienda taaratibu wakikusanya pesa ili wasikiuke FFP ya Laliga na UEFA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom