Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Asurance yetu Caicedo hadi sasa anataka kuja kucheza kwetu
Kuchelewa inaweza kuwa ni
  1. Delay tactics za aidha kuwachosha Liverpool ili waondoe Bid yao kubwa au
  2. Delay tactics ili wakusanye kwanza mauzo ya Odoi, Kepa, Lukaku, Gallagher, Ziyech
  3. Mambo yanaenda underground
Kumbuka hata ile vita ya Chelsea na Barcelona kuwahusu Kounde na Raphinha, Barcelona baada ya kumshawishi mchezaji awe upande wao walienda taaratibu wakikusanya pesa ili wasikiuke FFP ya Laliga na UEFA
Sawa anakuja kwenu lipeni Sasa mumtambulishe kelele za nini wote tunajua anakuja ila kulipa mbona hamlipi au mmeghairi🤣🤣🤣🤣
 
Akija utakuwa shabiki wa Chelsea, timu kubwa, nafasi bado nyingi tunawapokewa wanachama wapya
 
Unaumwa mzee yaani ushawahi kuona mwanaume anashabikia Chelsea maana mlipiga kelele caicedo Kila mda ila naona kimya vipi Kuna nini kimetokea kayayuka hapo London🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahahahahah sijui wanasubiri nini kumchukua caicedo Hawa Jamaa 🤣🤣🤣🤣
Wachezaji wengi wanaogombewaga hivi kwenye usajili hua hawana msaada baada ya kusajiliwa

Huyu chelsea wabebe tu mzigo wao ila baadae wasianze kulia lia,No value for money

Hatumtaki tena
 
https://twitter.com/FabrizioRomano
Fabrizio Romano
@FabrizioRomano

Kepa to Real Madrid, here we go! Loan deal verbally agreed between Real and Chelsea, no obligation/permanent move for Spanish GK RealMadrid Kepa immediately said yes to Real after talks with Bayern over the last 3/4 days.He already said goodbye, ready to travel.
1691858595970.png
 
Kuna dili mbili zitakamilika kabla ya kesho
  1. Caicedo liko mbioni kukamilika, ilikuwa ni suala tu la SWAP deal ambalo Brighton walikataa, ikaja suala la malipo kwa Installment na pesa za nyongeza kwenye mil 110. Sijui wamefikianaje ila linamaliziwa
  2. Pia usajili wa Lavia uko mwishoni na kocha wa Soton amethibitisha hilo baad ya mechi ya leo ambapo Lavia hakucheza kwa kuwa ana mhemuko wa kuhama
 
Hili dili la Caicedo linaweza likaenda na kichwa cha mtu
Kule Twitter waandishi namashabiki ndakindaki wa Anfield wanamshambilia kweli kweli kwamba analipwa na Chelsea kutangaza taarifa zao kisa tu kwa sababu jana alisema Caicedo haitaki lIverpool na kwamba Liverpool wanajiandaa kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha Caocedo
Mihemuko ni mbaya sana
 
Kwan dirisha linafungw lin
 
Unajua unachoongea akieleweki hao mashabiki wa Liverpool wanamshambulia nani maana haueleweki unachoongea mzee matajiri tunasubiri utambulisho wa caicedo maana kelele zilikua nyingi ila mpaka Sasa hivi hamna kitu mnakwama wapi🤣🤣🤣
 
Hahahaha Yaani watu wanataka pesa nyie mnaleta mambo ya swap deal kumbe huyo boss wa mchongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hili dili la Caicedo linaweza likaenda na kichwa cha mtu
Kule Twitter waandishi namashabiki ndakindaki wa Anfield wanamshambilia kweli kweli kwamba analipwa na Chelsea kutangaza taarifa zao kisa tu kwa sababu jana alisema Caicedo haitaki lIverpool na kwamba Liverpool wanajiandaa kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha Caocedo
Mihemuko ni mbaya sana
Wanamshambulia Fabrizio Romano?

Huyu Jamaa Kuna dalili za wazi ni mshabiki wa Chelsea
 
Unajua unachoongea akieleweki hao mashabiki wa Liverpool wanamshambulia nani maana haueleweki unachoongea mzee matajiri tunasubiri utambulisho wa caicedo maana kelele zilikua nyingi ila mpaka Sasa hivi hamna kitu mnakwama wapi🤣🤣🤣
FAB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom