Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mashabiki wa Liver wamekuwa kama fisi anayemfuatilia binadamu akirusha mikono yake na kudhani yanaweza kudondoka ili ale

Dili la Caicedo halidondoshwi comrade
 
Hapa kwa Caicedo tunambeba kwa nguvu hadi darajani afe mtu au apone tunabeba
Tuvunje sheria au tusivinje tunabeba
Kama unaumia sana sisi kumbeba Caicedo katafune pilipili mbuzi halafu ule na piriton ukalale hadi Kesho wakati tunamtambulisha Caicedo kwa mashabiki wetu Darajani
 
Kama ni mfatiliaji mzuri wa Habari za Chelsea kwa Fab Wala haihitaji akili nyingi utajua Fab ni shabiki wa Chelsea

Mfano hili la Caicedo unajua bid zilizokuwa zinakataliwa Fab alikuwa haripoti kabisa
Mbona alisema zile bids za mwanzo bro?
 
Kama ni mfatiliaji mzuri wa Habari za Chelsea kwa Fab Wala haihitaji akili nyingi utajua Fab ni shabiki wa Chelsea

Mfano hili la Caicedo unajua bid zilizokuwa zinakataliwa Fab alikuwa haripoti kabisa
Sio shabiki wa Chelsea, anaonekana hivyo pale taarifa za Chelsea ndizo zinazotrend
Wakati Liver wanamsajili Mcallister Fab alionekan akama shabiki wa Liverpool

Ushab iki wa baadhi ya wanahabari mahiri wa footbal transfers
  1. Fabrizio Romano (@FabrizioRomano) - mshabiki wa Watford
  2. David Ornstein, The Athletic - Mshabiki wa Arsenal
  3. Matt Law, Telegraph - Shabiki mkubwa wa Chelsea
 
Poa vipi mtambulisheni basi caicedo matajiriiiii mnakwama wapi kwani wakati huyo mchezaji ka🤣🤣🤣🤣🤣
Mashabiki wa Liver wamekuwa kama fisi anayemfuatilia binadamu akirusha mikono yake na kudhani yanaweza kudondoka ili ale

Dili la Caicedo halidondoshwi comrade
Ndio tunajua haliwezi dondoshwaaa mtambulisheni basi mbona hamlipiiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Baada ya Mat Law kuandika kuwa Chelsea wako mbioniu kumsajili Caocedo kwa ada ya pauni mil 115 ambayo itakuwa ni rikodi nchini Uingereza sasa bahari imetulia, makelele yameisha hata wale wabishi wa kupindukia wametulia na wameshaanza kukubali. Wanaulizia kama Lavia bado anapatikana au wakatafute akina Kone na Kephram

1691864166387.png
 
Hapa kwa Caicedo tunambeba kwa nguvu hadi darajani afe mtu au apone tunabeba
Tuvunje sheria au tusivinje tunabeba
Kama unaumia sana sisi kumbeba Caicedo katafune pilipili mbuzi halafu ule na piriton ukalale hadi Kesho wakati tunamtambulisha Caicedo kwa mashabiki wetu Darajani
Tunajua mmebeba vipi mbona hamlipiiiiiiiiiiii matajiriiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Poa vipi mtambulisheni basi caicedo matajiriiiii mnakwama wapi kwani wakati huyo mchezaji ka🤣🤣🤣🤣🤣

Ndio tunajua haliwezi dondoshwaaa mtambulisheni basi mbona hamlipiiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umebaki tu wewe mbishi, kubali kwa afya yako comrade
 
Baada ya Mat Law kuandika kuwa Chelsea wako mbioniu kumsajili Caocedo kwa ada ya pauni mil 115 ambayo itakuwa ni rikodi nchini Uingereza sasa bahari imetulia, makelele yameisha hata wale wabishi wa kupindukia wametulia na wameshaanza kukubali. Wanaulizia kama Lavia bado anapatikana au wakatafute akina Kone na Kephram

View attachment 2715713
Kwani mbona tangu Jana mmeshawachukua wote watambulisheni Sasa kelele nyingiiiiiii hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umebaki tu wewe mbishi, kubali kwa afya yako comrade
Nimebisha wapi jamani mchezaji si anaitaka Chelsea huyo wenu mbona lipeni mumtambulishe mchukue uefa mbona kelele nyingiiiiiii wakati pesa mnayo matajiri munawazidi Hadi man city🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tetesi: Deal Done

Huyu reporter mkubwa wa Liverpool amerusha kuwa tayari
Chelsea na Brighton wameafikiana kuhusu usajili wa Caicedo kwa ada la Pauni milioni 115
Caicedo atapewa mkataba wa miaka 8 hadi 2031 na nyongeza ya mwaka hadi 2032
Time yake ya kule Ecuador ambayo ndio ilimshauri aisikilize na Chelsea baada ya Liverpool kuvamia inayoitwa Independiente del Valle itapewa pauni milioni 23
1691866478527.png

Huyu reporter mkubwa wa Liverpool amerusha kuwa tayari Chelsea wameafikiana na Brighton kuhsu usajili wa Caicedo kwa dau la Pauni mil 115
Caicedo atapewa mkataba wa miak 8 hadi 2031 na nyongeza ya mwaka hadi 2032
Time yake ya kule Ecuador ambayo ndio ilimshauri aisikilize na Chelsea baada ya Liver kuvamia inayoitwa Independiente del Valle itapewa pauni mil 23
View attachment 2715766
Mzee unatumia nguvu nyingi sanaaa tunajua tayari huyo ni wenu mtambulisheni Sasa matajiri mnawazidi Hadi man city pesa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tetesi: Deal Done

Huyu reporter mkubwa wa Liverpool amerusha kuwa tayari Chelsea wameafikiana na Brighton kuhsu usajili wa Caicedo kwa dau la Pauni mil 115
Caicedo atapewa mkataba wa miak 8 hadi 2031 na nyongeza ya mwaka hadi 2032
Time yake ya kule Ecuador ambayo ndio ilimshauri aisikilize na Chelsea baada ya Liver kuvamia inayoitwa Independiente del Valle itapewa pauni mil 23
View attachment 2715766
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom