This aged wellWala hatuna mpango na Lavia tunawapoteza maboya Brighton



Liverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?
Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili
Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao
Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo


Kama hawakumtaka ofa ilipelekwa ya nini?Una uhakika madirector walikuwa wanamtaka Caicedo?
Una uhakika Pochetino alikuwa anamtaka Caicedo?
Wacha aende tu hiyo hela ni nyingi mno hata dili la Rice halikufika hivyoCaicedo ni kambi popote Hana msimamo ,yule hata manjesta anaenda
Wachezaji wa hivi tamaa mbele
Thus why Arsenal tuliamua ku deal na wachezaji wenye Nia kweli
Caicedo hana msimamo
Hili dili limeshaisha chelsea hawezi kupanda tenaBrighton walivyo na tamaa hadi documents zisainiwe ndipo tujue dili limeisha. Chelsea wakipanda dau kabla hawajasaini Brighton watageuka
Hii imeisha tayari tuangalie target nyingine hii vita ya usajiri sio nzuri mzee hiyo hela imevuka hata ile ya Rice kwenda ArsenalNjia pekee ya kumsajil Caicedo ni kumatch bid ya Liverpool wakat huo huo tukiomba brighton wawe bado wajasign document.
Hii siku ya leo ndio ya muhim
Au siyoLiverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?
Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili
Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao
Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo
Tusijifiche kwenye hichi kichakaa, tumebugi pakubwa sanaWacha aende tu hiyo hela ni nyingi mno hata dili la Rice halikufika hivyo
Better awe Andre Trindade or florentino luis, kwa sasa tunaanza fanya panic buy huku tumespend miez 3 kufanya negotiation wakat tangu mwanzo BHA walitaka 100MChelsea wakituliza akili watapata mchezaji bora zaidi ya Caicedo
Infinite Athlete ... Team Ina wachezaji kibao majeruhi...New Sponsor
View attachment 2712210
Hivi tunaweza kweli kuwashawishi Madrid watupe Tchouameni ? , Na sidhani kama wanaweza muachia chini ya euro 100 milioniCaicedo anatakiwa na kila mtu pale Chelsea
Mashabiki waliokuwa wakimfuatilia kwa asilimia 90+% walikasirika sana kwa sababu dili la Chelsea lilikubaliwa kimsingi kabla ya mjinga fulani huko sijui Boehly alienda kupima maji kwa Lavia na yeye ndiye aliharibu kila kitu. Uzembe uliotokea ni mkubwa hata tukimpata Aurelien Tchouameni au Lavia hawezi kufikia ubora ambao Caicedo angeuleta kwenye timu. Mtindo wa kucheza wa Caicedo ni Kante akiwa na umri wa miaka 21, fikiria jinsi tulivyopoteza nafasi.
Kwanza mie nimefurahi sana kwenda huko mtu mwenye tamaa wa nni kma mwanamke malayaWacha aende tu hiyo hela ni nyingi mno hata dili la Rice halikufika hivyo
Na atanunumiwa kwa bei50 liver wanajua kulalia watuHili dili limeshaisha chelsea hawezi kupanda tena
Hadi sasa sijasikia taarifa za kusaini documents, Brighton ni wapuuzi kabisa, tunaweza tukawalaumu Liverpool au Uongozi wa Chelsea lakini wapuuzi wamnaopenda kugombanisha timu hapa kwa tamaa zao ni Brighton. Bado labda wanasubiri dau la ChelseaNjia pekee ya kumsajil Caicedo ni kumatch bid ya Liverpool wakat huo huo tukiomba brighton wawe bado wajasign document.
Hii siku ya leo ndio ya muhim