Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hadi tunaenda mitamboni bado Moises Caicedo hajakubaliana personal terms na Liverpool kwa sababu mchezaji matakwa yake ni kuichezea Chelsea. Na Chelsea wameiambia kambi ya Caicedo wabaki London wanshughulikia usajili wake. Inaaminika Liverpool wameweka dau la kati ya pauni mil 110-115
Nasikia pia kuwa Maafisa wa Chelsea wamewakasirikia ile mbaya Liverpool
Chelsea wataweka kati ya pauni mil 120-130. Hii ngoma ndi sasa inanoga kweli kweli, wach sisi tuendelee kuwa washabiki afterall pesa sio za kwetu
Umekuwa Mwehu wewe
 
Klop alipoulizwa kuhusu dili la Caicedo alisema
Ni kweli Liverpool na Brighton wameshakubaliana dau la kumsajili Caicedo
Alipoulizwa kuhusu makubaliano na mchezaji alisema

"Tutaona"
"We will see"

Ni masa 10 sasa tangu wakubaliane bei vilabu viwili lakini Klop kashindwa kuongea na mchezaji
Naona ya Raphinha na Kounde inataka kujirudia hapa
 
Chelsea ina Mashabiki vilaza sana, Klopp amesema publicy A deal is Agreed, Hii Confidence ni ya hali ya juu It's Done.....Acheni kudanganyana nyie Mazuzu Eti Hijack hiyo Hijack ni kwa Vilaza wenzenu sio kwa LIVERPOOL FC ......NEVER.
 
Mitamboni uende wapi mzee wewe mshamba tu hujui chochote upo bongo unakula viazi unasema mitamboni
 
Klop alipoulizwa kuhusu dili la Caicedo alisema
Ni kweli Liverpool na Brighton wameshakubaliana dau la kumsajili Caicedo
Alipoulizwa kuhusu makubaliano na mchezaji alisema

"Tutaona"
"We will see"

Ni masa 10 sasa tangu wakubaliane bei vilabu viwili lakini Klop kashindwa kuongea na mchezaji
Naona ya Raphinha na Kounde inataka kujirudia hapa
Endelea kuota huyo caicedo angekua anaipenda Chelsea asingeongeza mkataba tangu walipomuhitaj 8naonesha hujui chochote mzee
 
Kama Chelsea hawatafikia dau la Liverpool na Caicedo akakataa kwenda Liverpool ina amana anarudi Brighton kitu ambacho sidhani kama itatokea
Kama Brighton watakubali kupokea ofa ya Chelsea iliyoboreshwa kitu ambacho inaweza kutoikea kwa 99% basi Caicedo anakwenda Darajani
 
It's obvious Chelsea have refused to walk away, and Caicedo still wants Chelsea over Liverpool. Interesting hours ahead. Let's see if Caicedo will do a Raphinha and if Chelsea will outbid Liverpool. For sure, if they do, Caicedo’s preference becomes vital.

Caicedo hadi sasa ameikataa Liverpool akiendelea hivyo hakuna cha dau kuwa kubwa kama ulifuatilia issue ya Raphinha na Barcelona na Chelsea
Endelea kuota mzee eti amzikataa Liverpool hahahaha
 
Chelsea ina Mashabiki vilaza sana, Klopp amesema publicy A deal is Agreed, Hii Confidence ni ya hali ya juu It's Done.....Acheni kudanganyana nyie Mazuzu Eti Hijack hiyo Hijack ni kwa Vilaza wenzenu sio kwa LIVERPOOL FC ......NEVER.
Hawa jamaa hawajielewi
 
Endelea kuota huyo caicedo angekua anaipenda Chelsea asingeongeza mkataba tangu walipomuhitaj 8naonesha hujui chochote mzee
Hakunapopte Caicedo kahusihwa, makubaliano ni ya timu kwa timu
Mgogoro unaoendela hadi sasa Caicedo na kambi yake bado wako London ni Liverpool hamjakubaliana personal terms na mchezaji. hukumu kwa sasa iko mikononi mwa Chelsea na Caicedo ninyi mlishahukumu
Presure itawaua
 
Hukumu Iko Kwa Chelsea kwani ni mchezaji wenu hivi unajielewa Wewe jamaa
 
Relax .....Subiri Announcement tu.
1691749382480.png
 
Tajiri miluzi karejea asee

𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Moises Caicedo is having second thoughts about the move to Liverpool. The player and his representatives are still in London amid reports Chelsea are coming back in for him.

(Source: Sky Sports)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom