Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wacha aende tu hiyo hela ni nyingi mno hata dili la Rice halikufika hivyo
Impact atakayoleta Caicedo Liverpool ndio utajuwa hiyo hela ndogo sana
Matobo yetu tutaendlea klumiminiwa counter na kufungwa kijinga hata top 4 hatutaweza kufikia msimu ujao
 
Kitakachotufariji mashjabiki wa Chelsea ambao tulikuwa tukimfuatilia Caocedo ni kama mambo manne tu yatokee

  1. Kila tukikutana na Liverpool tuwabamize hata kama wana Caicedo tutajifariji kwa muda
  2. Caicedo aflop msimu mzima au kabisa tutabaki tunawacheka Liverpool hapo tutamsahau kabisa Caicedo
  3. Tumpate mchezaji kama Tchouameni and on fire.
  4. Tutumaini kwmaba akina Ugochukwu Santos formu zao zitapanda kwelikweli na waweza kuifanya kazi ambayo Caicedo angefanya kitu ambacho sidhani kabisa kama itatokea
 
Tatizo sajili tulizofanya January zina tulimit kutumia tena pesa nyingi hili wengi mnasahau Enzo £100m na Mudryk £100m halafu tutoe tena kwa Caicedo ilikuwa ni ngumu ndomaana dili likawa linachelewa kufanyika
 
Hivi tunaweza kweli kuwashawishi Madrid watupe Tchouameni ? , Na sidhani kama wanaweza muachia chini ya euro 100 milioni
Tunaweza kuburgain kwa kipa, wanamtaka Kepa kwa sababu kipa wao hatakuwepo kwa takriban nusu msimu
 
Cheltako chelwowo ligi imerudi sasa mlinenepa sana mlifuga vitako sana muda wa kukonda sasa
Mkipata kombe lolote msimu huu mje niwape dada angu
 
Tusijifiche kwenye hichi kichakaa, tumebugi pakubwa sana

Tumekosa wote
UGARTE
RICE
CAICEDO

Tunaanza ligi bila kuwa na no6

Caicedo alikuwa ni kante version 2.0 katika kiungo chetu

Tunaspend millions kwenye youngster ambao tunawatoa kwa mkopo huku tatizo la tim tunashindwa kulitatua
Issue ya Caisedo bado haijatamatishwa. Mpaka jana jioni Caisedo alikuwa London. Na leo asubuhi timu ya Caisedo imekuwa informed kwamba Chelsea is still working on the deal. Sijajua kama Klopp kashaongea na Caisedo maana hata kwenye press ya Klop sijui kama amezingumza kuhusu kuongea na Caisedo ili tujue kuwa amebadili msimamo anataka sasa kwenda Liverpool.

Kwa hiyo ndani ya masaa 24 tusubiri kuna jambo litatokea. Aidha mchezaji atakubali kujiunga Liverpool au Chelsea itapeleka bid mpya.
 
Nasikia Chelsea wanajaribu kumpiku Liverpool asubuhi hii kwa kule uingereza
Tusubiri hadi FabrizioRomano asema here we go
 
Bohely na watu wake wamefanya upuuzi ,unaendaje kumnunua Tyler Adams tena majeruhi ? ,Unashindwa kuongezea pesa ukalipa kwa sehemu yenye uhitaji zaidi
Ni lazima tusajili midfield wawili ili Enzo acheze katika advanced role
 
Issue ya Caisedo bado haijatamatishwa. Mpaka jana jioni Caisedo alikuwa London. Na leo asubuhi timu ya Caisedo imekuwa informed kwamba Chelsea is still working on the deal. Sijajua kama Klopp kashaongea na Caisedo maana hata kwenye press ya Klop sijui kama amezingumza kuhusu kuongea na Caisedo ili tujue kuwa amebadili msimamo anataka sasa kwenda Liverpool.

Kwa hiyo ndani ya masaa 24 tusubiri kuna jambo litatokea. Aidha mchezaji atakubali kujiunga Liverpool au Chelsea itapeleka bid mpya.
Bado Caicedo yupo London na mizigo yake

Kwa tetesi zinadai kuwa bado Chelsea hawajaridhika wanajaribu kuipiku Liverpool na huo mchezo Brighton ndio wanaupenda sana kuliko hata kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza
 
Chelsea wameamua kuongeza dau walilotoa Liverpool katika harakati za kushinda usajili wa Caicedo
Chelsea wameiambia kambi ya Caicedo wasitoke London kwa sababu bado wanashughulikia usajili wa Caicedo
 
Bohely na watu wake wamefanya upuuzi ,unaendaje kumnunua Tyler Adams tena majeruhi ? ,Unashindwa kuongezea pesa ukalipa kwa sehemu yenye uhitaji zaidi
Adams n usajili mzuri tena kwa £20 ni kama aumjui Tyler ndo utasema ivo lakin ni moja kat ya addition nzur kabsa kwenye kikosi. nahis kama sjakosea dogo n mzuri kwenye ball recovery & ball winning kuliko caisedo na rice
 
Tatizo sajili tulizofanya January zina tulimit kutumia tena pesa nyingi hili wengi mnasahau Enzo £100m na Mudryk £100m halafu tutoe tena kwa Caicedo ilikuwa ni ngumu ndomaana dili likawa linachelewa kufanyika
Hapa hakuna ukweli wowote tumemwaga pesa nyingi kwa wachezaji ambao tumewapeleka kwa mkopo(quantity)then useme hatuwezi mwaga pesa kwa Caseido (quality) huu ni ujuha standard gauge. Ni kukosa priority ndio ujinga wa team boss miluzi
 
Kitakachotufariji mashjabiki wa Chelsea ambao tulikuwa tukimfuatilia Caocedo ni kama mambo manne tu yatokee

  1. Kila tukikutana na Liverpool tuwabamize hata kama wana Caicedo tutajifariji kwa muda
  2. Caicedo aflop msimu mzima au kabisa tutabaki tunawacheka Liverpool hapo tutamsahau kabisa Caicedo
  3. Tumpate mchezaji kama Tchouameni and on fire.
  4. Tutumaini kwmaba akina Ugochukwu Santos formu zao zitapanda kwelikweli na waweza kuifanya kazi ambayo Caicedo angefanya kitu ambacho sidhani kabisa kama itatokea
We jamaa unaota ndoto amka mzee caicedo yupo on fire na swala la kumfunga Liverpool sahau mzee utachezea kichapo kibaya sana msimu huu hutoamini kiufupi imekula kwenu ynwa
 
Nasikia Chelsea wanajaribu kumpiku Liverpool asubuhi hii kwa kule uingereza
Tusubiri hadi FabrizioRomano asema here we go
Acha ujinga mzee deal tayari lishakamilia wewe unasema unasikia dogo anaenda kufanya vipimo ajiinge anfield wewe endelea kusikia hivyo hivyo
 
Chelsea wameamua kuongeza dau walilotoa Liverpool katika harakati za kushinda usajili wa Caicedo
Chelsea wameiambia kambi ya Caicedo wasitoke London kwa sababu bado wanashughulikia usajili wa Caicedo
Mjomba hujitambui hivi ushindwe kumsajili miezi yote hiyo Leo ndio uweze Leo hahahah huyo yupo anfield mda huu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hadi tunaenda mitamboni bado Moises Caicedo hajakubaliana personal terms na Liverpool kwa sababu mchezaji matakwa yake ni kuichezea Chelsea. Na Chelsea wameiambia kambi ya Caicedo wabaki London wanshughulikia usajili wake. Inaaminika Liverpool wameweka dau la kati ya pauni mil 110-115
Nasikia pia kuwa Maafisa wa Chelsea wamewakasirikia ile mbaya Liverpool
Chelsea wataweka kati ya pauni mil 120-130. Hii ngoma ndi sasa inanoga kweli kweli, wach sisi tuendelee kuwa washabiki afterall pesa sio za kwetu
 
Acha ujinga mzee deal tayari lishakamilia wewe unasema unasikia dogo anaenda kufanya vipimo ajiinge anfield wewe endelea kusikia hivyo hivyo
It's obvious Chelsea have refused to walk away, and Caicedo still wants Chelsea over Liverpool. Interesting hours ahead. Let's see if Caicedo will do a Raphinha and if Chelsea will outbid Liverpool. For sure, if they do, Caicedo’s preference becomes vital.

Caicedo hadi sasa ameikataa Liverpool akiendelea hivyo hakuna cha dau kuwa kubwa kama ulifuatilia issue ya Raphinha na Barcelona na Chelsea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom