Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..

Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Na hii ndio post yangu niliweka kabla league haijaanza.... Nili oversee, nikaona mapungufu mengi ya cucu ... Na huwezi kumcompare na chillwell...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pochinene ana kitu hasa kuwaamini vijana na kuwatoa level moja kwenda nyingine

Akiongezewa new GK ,at least 2 Midfielders Basi atagombea top 4

But in term of Talent ID, ku progress young players ,tactics yupo vzr

Mpaka Sasa bila usajili bado mnakazi ku break top 4
 
Afadhali Pochettino ametambua uwezo wa Ian Maatsen
Naona atamtumia kwenye nafasi za Mbele zaidi
Mchezaji kama Iana anauwezo wa Kuacheza winga wa kulia kushoto no. 10 center forward na fullback
Huyu nahisi hata kudaka anjua kuliko Kepa
.
Pochettino: “So far, Ian Maatsen is in my plan. I am so happy with him, can play in different positions”. #CFC“He is a clever player, I am so pleased with him so far”, said via
@scott_trotter

1690437043979.png
 
View attachment 2700251
Pochinene kwenye kujua uwezo wa mchezaji yupo vzr
 
Pochinene ana kitu hasa kuwaamini vijana na kuwatoa level moja kwenda nyingine

Akiongezewa new GK ,at least 2 Midfielders Basi atagombea top 4

But in term of Talent ID, ku progress young players ,tactics yupo vzr

Mpaka Sasa bila usajili bado mnakazi ku break top 4
Arsenal wanatushauri
 
Arsenal wanatushauri
Unatakiwa uelewe Mimi ni mchambuzi nguli na mshabiki ,

Hapa nimesimama Kama mchambuzi

Tunaposema Chelsea bado dhaifu kupigania ubingwa even top 4 Kama Kuna maeneo haitaboresha tunakuwa tumefanya analysis yakutosha

Pochetinho pia kaongea ,Soma hapa[emoji107][emoji107][emoji107]

Pochettino says Chelsea still have a massive and unbalanced squad with tough decisions to come. He also went on a rant about players demanding to be starters rather than earning it

standard.co.uk/sport/football… #cfc
 
Chelsea ina mapungufu kwenye kipa, tunahitaji central defender mmoja na kiungo mkabaji wa kati at least wawili ili tuwe kwenye ushindani.
 
Tupe mtazamo wako Chelsea ilikuaje na wachezaji gani waliperform na waliovurunda
Nico ameendela kucheza vizuri mechi zake zote za Pre season
Yuko mobile sana na ana stamina kama Drogba na mjanja kama Etoo
Mwingine anayecheza vizuri mechi zote ni Ian Maatsen. Japokuwa yeye ni natural LB ila mechi zote kacheza kama winga wa kulia na kushoto
Mechi 3
Magoli 3
Assists 2

Mwingine anayecheza vizuri ni Casadei
Anafuata mabeki akina Bushiri na Malo Gusto hata Chalobah sikuona anafanya makosa
Chilwell jana alicheza vizuri

Wanaoendelea kucheza vibaya anaongoza ni Sterling, hakuna kitu pale. Anacheza kama academy wa miaka 15/16
Cucurela anajitahidi ila maamuzi yake ni maafa kwa Chelsea
Goli la kusawasihsa la New castle asingkurupuka akatulia akaenda sambaba na Almiron lile goli lisingeingia
Andrey santos kwa maoni yangu hachezi vizuri sana kama mwenzake Cesare Casadei. Huyu Casadei anajitoa sana, anapress ile mbaya. Kwa maoni yangu asiwekwe kwenye listi ya mkopo. Bora Andrey Santos ndiye apelekwe mkopo
Mudryk confidence inamrejea na ile namba imeshakuwa yake na Carney Chunkwuemeka anafaa sana backup ya no. 10 au CM ili confidence yake ikue, Anacheza vizuri kuliko al;ivyocheza kwenye ligi msimu uliopita. Pasi za haraka hara za one touch anaziweza sana kama mwenzake Angelo naye ni mmoja wa alds ambao naomba abaki

Bado mimi naona line up yetu bado ipo hivi

------------------- Jackson/Nkunku-----------------------

Mudryk/Sterling ---------------Kudus/Chunwuemeka------------Maatsen/Madueke

--------- Caisedo/Santos---------------------Enzo/Casadei ------------------

Chilwell/Hall----------Colwill/Badiashile -------Silva/Chalobah------James/Gusto

------------------------- Kepa/Slonina-----------------------------

Kocha kasema anataka kikosi cha wachezaji 21/22
  1. Mbadala wa Sterling akipatikana auzwe
  2. Broja mkopo au auzwe
  3. Cucu auzwe au abaki backup ya LB au CB
  4. Angelo ni mzuri sana ila umri wake utamzuia asicheze UK msimu huu, nashauri aende mkopo halafu mwakani akija apewe namba yake. Kwa uchezaji wake ni m,zuri kumzidi hata Maatsen na Madueke
  5. Bushiri naye abakizwe kama Chalobah atauzwa
  6. Wengine waliobaki wapelekwe mkopo wakajinoe huko
 
Asante mkuu kwa analysis yako James nae vipi alicheza vizuri?
 
Kwa wachezaji u23
Angelo Gabriel wa Chelsea ni wa pili kudu wa tatu
Kwa U20 Angelo Gabriel ndiye anayeongoza

1690478092859.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom